Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

Mpaka sasa kwenye hii kesi serikali hawana chochote cha kuthibitisha kama Mh.Mbowe na wenzio wamefanya haya makosa.
Ninachokiona hapo,hii kesi wameamua ichukue muda mrefu kwa maslahi yao binafsi kama vile washtakiwa wakae ndani muda mrefu au upande wa utetezi waendelee kupiga pesa ya posho.
Hii kesi yote msingo wake ni Lt.Denis Urio,mtu ambaye ameshindwa kuthibitisha hata kwa asilimia 10 tu kama washtakiwa wanakosa kwenye mashtaka yote waliyofunguliwa. Kama kiini cha kesi siku zote alizoutumia kutoa ushahidi wake,upande wa serikali wanapata wapi hizo nguvu zakuendelea kuleta mashahidi wapya kila siku?? Inawezekana kweli Msingi wa kesi Urio hana ushahidi wa kueleweka then watu waliokuwa wanafanya mapokeo kama Inst.Swila, Kingai na wengine wawe na ushahidi wakuwatia washtakiwa hatiani?
Umefikiria Deep sana mkuu. Yaani inafikirisha sana
 
Leo siku nzuri Sana Swila akipigwa cross exams na Kibatala itakuwa mziki mnene ameze flagly mapema siyo kwenda kwenda chooni au avae Pampers kabisa
 
Nikikusoma between the lines, nakuona umeanza kuuona ukweli wa kesi hii.
Mkuu sijawahi kuwa na mashaka-- Mbowe ni mhalifu kwa damu na kuzaliwa- hili kafanya na atakwenda jela kulipa yote aliyofanya toka azaliwe
 
Aisee me nilikua sijui, unaweza kunithibitishia huo uhalifu unaosema kwa ushahidi ambao ni Valid?
 
Mimi kama raia mwema, haya nifahamishe Mkuu.
Muulize Mbowe kwa nini hakuandika maelezo polisi?
1. aliiba akiwa mtumishi BOT
2. mvuta bangi toka alipoweza kuanza kwenda chooni peke yake
3 alificha video ya shambulio la bomu kwenye mkuatano wa CHADEMA ARUSHA
4. Alimtorosha dreva wa Lissu asihojiwe na polisi kwa kizingizio kuwa anamsongo wa mawazo
5. NK NK
 
Hayo ni maelezo, sasa yathibitishe kwa ushahidi ambao ni VALID
 
VALIDATION- ni maelezo hayo hayo- mwambie akanushe.

Kauli ya Mbowe baada ya kutokea Bomu katika mkutano wa Chadema.

katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.

Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha juu ya tukio hilo baya linalochafua taswira ya nchi.

Alisema chama chake kipo tayari kuweka ushahidi huo hadharani, iwapo Serikali itaendelea kufanya siasa na kuficha ukweli.

“Tunao ushahidi wa kutosha, ikiwamo wa picha za video unaoonyesha shambulio la bomu na risasi lilivyofanyika katika mkutano wangu jusi eneo la Soweto.

“Picha zinaonesha wazi aina ya silaha zilizotumika kwenye shambulio lile ni tatu, bomu la gurumeti ambalo lilitupwa na askari wa FFU aliyekuwa kwenye uniform.

SOURCE
mu/
 
Kwa hiyo huo ndio ushahidi wa uhalifu wake?
 
Rejea ushahidi wa Urio utaona. Lakini unaijua sheria ya ugaidi?
Kwa mwanenendo huu wa kesi, kilchobakia kwa serikali/mahakama ni uamuzi wa kulazimisha hatia tu.
Lakini kwa misingi ya hoja wameshaangushwa chini.
Ushahidi wa Luteni Denis Urio ambao ndio waliutegemea sana, unapwaya kwenye uwepo wa matukio,miamala ya fedha na hasa mawasiliano/mazungumzo ya kupanga ugaidi. Pia tarehe za matukio ya ukamataji, maeneo na uwepo wa watuhumiwa zajikanganya sana.
 
Kuna Kingai a.k.a mjingamimi kuna siku alikuja kutema pumba hapa Urio alipotoa ushahidi wake siku ya mwanzo. Lakini alipokutana na maswali ya upande wa utetezi hadi leo hajatokea tena. Hata CCM wote chini ya Hangaya wameshajua wamebugi kwenye hili issue, ndio maana wanamtuma kishoka wao @Zito kumuombea Mbowe msamaha ili kuficha hii aibu.
Kuna huyu Swila a.k.a comte Haamini anachoulizwa tofauti na alivyokaririshwa
 
Du hii kesi tamu sana sikujua ni ngumu hivi kusingizia mtu kesi ya uongo ngumu sana. Na tena Jaji akisimama kwenye sheria ndio inakuwa ngumu zaidi. Serikali ijipange zaidi. Kila wanachokileta kina dosari nyingi. Hata huyu Kidando anatakiwa aachie ngazi anajidhalilisha tu mahakani. Kesi imeandaliwa na police Kidando aelekeze Mapolice jinsi ya kuiweka vizuri, ina kuwa challenge kubwa sana.
 
Kwa ushahidi uliokwisha tolewa Mbowe ni mfungwa mtarajia - hapo mahabasu anatawa tu.
 
Yetu macho, bahati mbaya mimi sio mwanasheria kama wewe basi tutaona Mbowe akifungwa kifungo cha maisha jela. Na mmbaki na raha zenu. CCM hoyeee.
 
Nadhani huyu comte angependa Mbowe anyongwe kabisa.

Kwa ushahidi huu, ni wale "wanaoijua sheria tu" kama comte ndiyo wanaweza kusema Mbowe atakutwa na kesi ya kujibu. Sisi wengine tusioijua sheria, tusubiri tuone matokeo ya haya mapishi ya kina Kingai.
 
Kama wewe unavyotamani ifutike kwenye historia kuwa Mbowe aliwahi kushitakiwa kwa tuhuma za ugaidi
 
Back
Top Bottom