Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Hadi sasa unayoyasema hatuyaoni hapa mahakamani, mmeshindwa kuithibitishia mahakama hii hadithia yako.

Hata kama ni ushetani huu wako umezidi maana kama kungelikuwa na hata chembe ya ukweli Hadi sasa tungelikuwa tumeshauona hapa mahakamani
 
Kamalize dozi uliyoianza Mirembe kabla hujaja huku kwa watu wanaotumia akili walizojaliwa na Mwenyezi Mungu
 
Hapa ndipo nguvu ya ushahidi wa serikali ulipovunjwa maana wao walikuwa wanategemea Sana hatia za onyo (hati za kukiri makosa) kwa akina Adamoo na wenzake Ndiyo maana walipambana kufa na kupona katika kesi ndogo ili mahakama ipokee hati zile za onyo,

ila ukifuatilia kwa undani huu ushahidi walioutegemea leo umetikiswa sana kutokana na maelezo ya shahidi wa leo. Kwisha habari.
 
Adv Kibatala, umefanya kazi nzuri Sana leo. Umempa point blank kuwa hii kesi wamebumba ndiyo maana watu wanawaandikisha maelezo baada ya wiki tatu, mwezi etc

Umeraise doubts that go to the root of the case and therefore not minor.
The only problem I can figure out is the JUDGE if he will see the same because of Executive influence on judiciary.

Hopefully you and your colleagues, will put them clearly during your final submissions . Wajibu mmeutimiza by 100%.
Najua kazi bado Ni kubwa as still the prosecution has a number of witnesses to screw, lakini by a great part you have done it.
Asante sana.
 
Mzee Mbatia mbona sikuhizi haonekani mahakamani kumtia nguvu swahiba wake?!
 
Ok,shahidi mwingine wa upande wa mashtaka ni Kaaya,huyu amekaa mwaka mzima kama mshtakiwa na baadaye akaachiwa na Sasa ni shahidi ajaye!
Je,alipewa immunity deal Ili awe shahidi?
 
Kwa akili hizi ndogo naihurumia sana familia yako,na wewe una watu wanakutegemea kweli?

Ovyo kweli
 
Naona choo cha mahakama leo maji yaliisha😂😂😂
 
Ukitaka kujua mwanaume msomi ni hapa
 
Ok,shahidi mwingine wa upande wa mashtaka ni Kaaya,huyu amekaa mwaka mzima kama mshtakiwa na baadaye akaachiwa na Sasa ni shahidi ajaye!
Je,alipewa immunity deal Ili awe shahidi?
Kumbukumbu zangu zinaniambia Kaaya alishawahi kusimama kizimbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…