Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.

alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.

mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.

huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.
Lakini inakuwaje mtu na akili zako unaandika hivi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.

alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.

mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.

huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.
Umemwaga mashuzi tu hapa, Wewe mjane!
 
Ugaidi wa Mbowe 😁😁

Screenshot_20220208-104232.png
 
kwakweli laiti kama kesi hii ingefutwa kama walivyo kuwa wanashinikiza wafuasi wa Mbowe basi tusinge jua mipango miovu ya kigaidi dhidi ya nchi na viongozi iliyo kuwa inapangwa na huyu mbowe na genge lake la kihlifu.
tunavishukuru sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa umakini mkubwa ktk kulinda amani na utulivu wa nchi.
Ka uliwahi kusikia huwa kuna dakili za wazi mtu kuwa mwendawazimu, hizi za kwako, hazina shaka.

Wasiliana na ndugu zako wakupeleke hospitali inayohusika na matibabu ya uwendawazimu.
 
kwakweli laiti kama kesi hii ingefutwa kama walivyo kuwa wanashinikiza wafuasi wa Mbowe basi tusinge jua mipango miovu ya kigaidi dhidi ya nchi na viongozi iliyo kuwa inapangwa na huyu mbowe na genge lake la kihlifu.
tunavishukuru sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa umakini mkubwa ktk kulinda amani na utulivu wa nchi.
SASA hapo Ugai WA MBOWE NI UPI.
 
Kibitala kasha hamisha jama ile mbaya, jambo la kuchukua note book ya mutuhumiwa naona ni jambo ambalo lilifichwa mahakamani jama kakiri kwamba alilichukua ila ajalilitea mahakamani......huyu Peter ni mzuri sanaa
 
Urio alisema simu hazikua na line, swila anasisitiza simu zote zilikua na line zake, tuchukue ya nani tuaache la nani? Hapa jaji anakazi kubwa kumbuka ushahidi wao mkubwa ni sms kwenye simu hizo......ebu tusubiri kama haki itatendeka kweli
Kwenye final submission watakazia point nzito Kama hizo, relax!
 
Si wampige tu mvua za kutosha ili mchezo uishee.
 
Back
Top Bottom