Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Kibatala ni full package. Jamaa anajua kila kitu. Ukimpeleka kwenye IT yumo, Sayansi yumo, hadi masuala ya taratibu za ndani kabisa za kazi za watu yani. Daah...jamaa anatisha sn.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Nikweli huyu jamaa yupi vizuri.
Inaonekana anaipenda sana kazi yake na inaonekana muda mrefu anasoma jambo analokabiliana nalo kwa wakati huo.
 
Daah, kumbe ndio maana waungwana huwa wanaisubiri kwa hamu sana hii "cross examination". Sio kwa makofi haya wanayopigwa mashahidi.
Chief!
Kwenye kesi hii wakati wa cross Examination kuna shule ya hatari mno.Wakili wa serikali na mashahidi wake huwa sisome kabisa .Lakini Ikifika kwenye Cross -Examination lazima kazi zi simamae
 
Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]

Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:

"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"

Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..

Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"

Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
 
Cross examination imenifanya nijue mengi kuhusu sheria!
Kwa uvivu wangu nisingeweza kujisumbua kusoma vitabu kujua mambo ya kisheria hasa yanayohusu jeshi la Polisi!
Lakini hapa nafuatilia battle za kisheria na kusomeshwa vifungu bila kujua!Utafikiri ni hadithi Fulani nzuri kumbe ndio naelimika!
 
Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]

Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:

"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"

Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..

Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"

Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
Aibu kwa muhimili wa mahakama na serikali na itafutika tuu kwa kuwa watanzania wengi huwa hatuna tabia ya kuweka kumbukumbu
 
Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]

Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:

"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"

Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..

Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"

Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
... jamaa yuko njema sana upstairs! Ukisikia ku-connect dots from raw data upate useful and informed information ndio kama hivyo sasa! Wajinga walikaa vikao wakawa wanajitungia upuuzi wao hawakuwaza kuna mabingwa wenye uwezo wa ku-link neno kwa neno la ujinga wao tena kwa speed ya supercomputer kupata "picha kamili" ya ujuha wao!

Vichwa kama hivi (Kibatala, et. al.) ndio utavikuta Mossad, M16, FBI, na kwingineko wanakojua maana ya professionalism na intelligence. Huku kwetu akina nani sijui na ma-failure mengine eti ndio wanakabidhiwa upelelezi wa kesi "ngumu" (kwa akili yao) kama hii! Funny!
 
Hii case imenifunza mengi, walisema shahid anatoka mkoa kumbe yupo hapo hapo dar, nia ilikua kumuandaa namna ya kutoa ushahid wa uongo, amekutana na kibatala nondo zote zime evaporate
Pia hata walio andaa mashtaka ni viazi tuu. Maana kila mshtakiwa maelezo yake yako tofauti. Wakati wamekaa nayo na kuya unda. Mungu aitaka kukuaibisha ana njia nyingi sana za kukuaibisha. Sasa Kingai ana onekana kama mavi yaliyo pigwa mvua.
 
... kwenye tukio moja, maelezo ya Polisi tofauti!
 
... jamaa yuko njema sana upstairs! Ukisikia ku-connect dots from raw data upate useful and informed information ndio kama hivyo sasa! Wajinga walikaa vikao wakawa wanajitungia upuuzi wao hawakuwaza kuna mabingwa wenye uwezo wa ku-link neno kwa neno la ujinga wao tena kwa speed ya supercomputer kupata "picha kamili" ya ujuha wao!

Vichwa kama hivi (Kibatala, et. al.) ndio utavikuta Mossad, M16, FBI, na kwingineko wanakojua maana ya professionalism na intelligence. Huku kwetu akina nani sijui na ma-failure mengine eti ndio wanakabidhiwa upelelezi wa kesi "ngumu" (kwa akili yao) kama hii! Funny!
Yaani ushahidi wa upande wa Mashtaka umetepeta vibaya mno,wao walijua wamechora picha la ajabu kweli ndio maana wakasema 'safari hii huchomoki' kumbe ni upuuzi mtupu
 
Huyu shahidi akifika nyumbani anastahili kusema nimetoka kazini. Sio kwa kibano hiki aisee! Sidhani kama huwa analala usingizi tunaolala sisi
 
Yaani ushahidi wa upande wa Mashtaka umetepeta vibaya mno,wao walijua wamechora picha la ajabu kweli ndio maana wakasema 'safari hii huchomoki' kumbe ni upuuzi mtupu
... dola ikishakuwa organized criminals ni hatari sana Mkuu wangu. Unaweza kufungwa hivi hivi simply fulani mwenye mamlaka kakuchukia bila sababu unapotezwa mazima na hakuna wa kuhoji!

Dah, hii kesi imetoa funzo moja la hatari! Ni lini tutakuwa na independent state organs ambazo zinafanya majukumu yake professionally bila influence ya wakubwa? Anyway, sio chini ya chama hichi!
 
Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]

Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:

"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"

Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..

Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"

Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
Kibatala ana memory nzuri ajabu!
 
Back
Top Bottom