dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... halafu mwingine kwa ujasiri kabisa (sijui wa kijuha?) eti ANIOMBE MSAMAHA! Dah!Wamebambika kesi kwa mwamba wataipata fresh, ujinga wao utakuwa hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... halafu mwingine kwa ujasiri kabisa (sijui wa kijuha?) eti ANIOMBE MSAMAHA! Dah!Wamebambika kesi kwa mwamba wataipata fresh, ujinga wao utakuwa hadharani
Ukitaka upate madanga ya maana uje hapa mahakamaniSikakupata dada,
Nikweli huyu jamaa yupi vizuri.Kibatala ni full package. Jamaa anajua kila kitu. Ukimpeleka kwenye IT yumo, Sayansi yumo, hadi masuala ya taratibu za ndani kabisa za kazi za watu yani. Daah...jamaa anatisha sn.
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Chief!Daah, kumbe ndio maana waungwana huwa wanaisubiri kwa hamu sana hii "cross examination". Sio kwa makofi haya wanayopigwa mashahidi.
Cross examination imenifanya nijue mengi kuhusu sheria!Chief!
Kwenye kesi hii wakati wa cross Examination kuna shule ya hatari mno.Wakili wa serikali na mashahidi wake huwa sisome kabisa .Lakini Ikifika kwenye Cross -Examination lazima kazi zi simamae
Aibu kwa muhimili wa mahakama na serikali na itafutika tuu kwa kuwa watanzania wengi huwa hatuna tabia ya kuweka kumbukumbuHii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]
Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:
"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"
Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..
Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"
Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
... jamaa yuko njema sana upstairs! Ukisikia ku-connect dots from raw data upate useful and informed information ndio kama hivyo sasa! Wajinga walikaa vikao wakawa wanajitungia upuuzi wao hawakuwaza kuna mabingwa wenye uwezo wa ku-link neno kwa neno la ujinga wao tena kwa speed ya supercomputer kupata "picha kamili" ya ujuha wao!Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]
Shahidi anasoma Maelezo ya Adamoo Anasema:
"Tarehe 24 July 2020 Nilikutana na Mohammed Ling'wenya kasisitiza tuende Morogoro tukakutane na Luteni Urio, ambaye alitumbia kuwa Kuna kazi ya VIP PROTECTION Kumlinda Freeman Mbowe, Akatupa TSh 87,000 kila Mtu nauli ya Kwenda Moshi"
Tulirudi Chalinze Kwa pikipiki na Simu hiyo hiyo tukaanza Safari ya kwenda Moshi..
Shahidi: Maelezo Ya Ling'wenya yanasema "Baada ya hapo tuliondoka Kurudi Chalinze ambapo Baada ya Kurudi Chalinze tulinunua Shati, Baada ya Muda tulipata Usafiri wa Kuelekea Moshi, Tulifika Moshi Usiku"
Maelezo ya Adamoo na Ling'wenya yanasema walienda Moshi,halafu huyo Urio mwenyewe aliyewapa nauli kwenye maelezo yake anasema baada ya kuwapa hawa nauli walienda Dar es salaam.[emoji15][emoji15]
Pia hata walio andaa mashtaka ni viazi tuu. Maana kila mshtakiwa maelezo yake yako tofauti. Wakati wamekaa nayo na kuya unda. Mungu aitaka kukuaibisha ana njia nyingi sana za kukuaibisha. Sasa Kingai ana onekana kama mavi yaliyo pigwa mvua.Hii case imenifunza mengi, walisema shahid anatoka mkoa kumbe yupo hapo hapo dar, nia ilikua kumuandaa namna ya kutoa ushahid wa uongo, amekutana na kibatala nondo zote zime evaporate
... kwenye tukio moja, maelezo ya Polisi tofauti!Pia hata walio andaa mashtaka ni viazi tuu. Maana kila mshtakiwa maelezo yake yako tofauti. Wakati wamekaa nayo na kuya unda. Mungu aitaka kukuaibisha ana njia nyingi sana za kukuaibisha. Sasa Kingai ana onekana kama mavi yaliyo pigwa mvua.
Yaani ushahidi wa upande wa Mashtaka umetepeta vibaya mno,wao walijua wamechora picha la ajabu kweli ndio maana wakasema 'safari hii huchomoki' kumbe ni upuuzi mtupu... jamaa yuko njema sana upstairs! Ukisikia ku-connect dots from raw data upate useful and informed information ndio kama hivyo sasa! Wajinga walikaa vikao wakawa wanajitungia upuuzi wao hawakuwaza kuna mabingwa wenye uwezo wa ku-link neno kwa neno la ujinga wao tena kwa speed ya supercomputer kupata "picha kamili" ya ujuha wao!
Vichwa kama hivi (Kibatala, et. al.) ndio utavikuta Mossad, M16, FBI, na kwingineko wanakojua maana ya professionalism na intelligence. Huku kwetu akina nani sijui na ma-failure mengine eti ndio wanakabidhiwa upelelezi wa kesi "ngumu" (kwa akili yao) kama hii! Funny!
Sijui kwa nini kinamama wauza vitumbua hawataki kutumia magazeti ya Tanzania kama vifungashio?
... dola ikishakuwa organized criminals ni hatari sana Mkuu wangu. Unaweza kufungwa hivi hivi simply fulani mwenye mamlaka kakuchukia bila sababu unapotezwa mazima na hakuna wa kuhoji!Yaani ushahidi wa upande wa Mashtaka umetepeta vibaya mno,wao walijua wamechora picha la ajabu kweli ndio maana wakasema 'safari hii huchomoki' kumbe ni upuuzi mtupu
Kibatala ana memory nzuri ajabu!Hii ni aibu kubwa sana,nashukuru Kibatala kavunjavunja huu ushahidi wa kuchonga[emoji116]