Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ukisikio vioja mahakamani ndio hii sasa, Inspector Swila hali tete, waache wakampange upya Ila mpaka sasa ukweli tumeshaujua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaruhusiwa siku hizi, ndo maana washika vibendera wanaruhusu magoli ya offside. Huyu kaweka mpira kwapani sijui nusu ya pili atarudi.Kumbe inaruhusiwa kutia mpira kwapani kwa ridhaa ya refarii!!!!!!
Wewe huamikiniki kama ilivyo kiroboto, Kwa unazi wako Kwa wanachukua chako mapena au Wana ccm wenzio au wabambikiaji wenzio 🤔Mwenye macho aambiwi Tazama Kuna msemo usemao
The search for truth takes you where the evidence leads you, even if, at first, you don't want to go there..
...
Leo umeandika andiko la kipuuzi kupitiliza. Aombe msamaha kwa kosa gani gani hasa?Mwenye macho aambiwi Tazama Kuna msemo usemao
The search for truth takes you where the evidence leads you, even if, at first, you don't want to go there....
Msamaha haombi na kama mmepanga kumfunga mfungeni.Mwenye macho aambiwi Tazama Kuna msemo usemao
The search for truth takes you where the evidence leads you, even if, at first, you don't want to go there..
Haya ya Kibatala kamkalisha shahidi sijui shahidi Urio wa Mchongo ase...
Siku Kibatala akajidanganya kwenda huko, ndio ameharibikiwa. Serikali hii inaharibu Sana vipaji na weledi wa watu. Huko ni lazima ukabariki uongo na kutetea dhuluma.Wakili msomi Peter Kibatala ni mmoja wa Mawakili mahiri kutokea katika nchi hii. Ikipendeza namshauri Mhe. Rais amteue Wakili msomi Peter Kibatala ili amsaidie Serekalini yake. Huyu anafaa kuwa DPP.