Nicholaussanga
Member
- Aug 13, 2020
- 25
- 72
Mkuu wa kesi hii ya ugaidi Ramadhani Kingai katika ushahidi wake aliishia kusema tuliwakamata, tukawaleta Dar es SALAAM, njiani gari likaharibika, tukala supu na MO energy......akaishia blah blah, hajagusia ugaidi. Waliofuata nao ni hayo hayo, Detention register, detention register, detention register! Sasa ugaidi ulivyofanyika Nani ataelezea?wamfunge chap huyu gaidi..haya makelele ya ubw## koko yaishie.ushahidi umeenyoka kabisa kesi inatakiwa iwe imeisha muda mrefu sana...hawa mawakili kazi yao imekuwa nikuweka mapingamizi tu ili kuisumbua mahakama ila hakimu kwa wanavyokuchosha..mfunge gaidi na viboko juu
Alipigwa kwa kosa la kuwatafutia kazi ya vip ptotection akina Adamooo ,Huyu Denis Urio ni kwa nini alipigwa? Na yupo wapi....?
Ugaidi uko kwenye detention register, tusubiri ikifumuliwa yote.Mkuu wa kesi hii ya ugaidi Ramadhani Kingai katika ushahidi wake aliishia kusema tuliwakamata, tukawaleta Dar es SALAAM, njiani gari likaharibika, tukala supu na MO energy......akaishia blah blah, hajagusia ugaidi. Waliofuata nao ni hayo hayo, Detention register, detention register, detention register! Sasa ugaidi ulivyofanyika Nani ataelezea?
Kwahiyo mualimu wa jeshi alipigwa na police duh tuende taratibu hi ussue kubwaAlipigwa kwa kosa la kuwatafutia kazi ya vip ptotection akina Adamooo ,
Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Utasikia matusi tu na majigambo oh mwamba ni mtu maarufu; oh mbona diamond anao; oh ana hela nyingi hata baba yake alichangia harakati za uhuru wa Tanganyika blah blahTukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Kwahiyo angekua anevuja sheria gani? Uoni yalio mkuta lissuTukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
anahadhi gani- hizo ni typical unique features za magaidi- hasa viongozi waoYaani unashangaa mtu mwenye hadhi kama Mbowe kuwa na walinzi wanne tu? Yaani hauuoni umuhimu wa Mbowe kuwa hata na zaidi ya hao walinzi wanne? Au kisa umeona ni makomandoo?
Kesi yenyewe haikuonyeshi uzito wa Mbowe?Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!