Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Cross examination ya hawa jamaa itawaweka mawakili wa serikali kwenye wakati mgumu sana, hawa wanatoa yote kichwani bila kukaririshwa, sasa ni jukumu la mawakili wa serikali kuhakikisha wanawaondoa kwenye reli watu ambao wanatoa ukweli walioupitia.
Mama afukuze hao watu walio muuzia hi kese, itadhalilosha sana jeshi la police na serikali yake, mahakama haiwezi kupata hataushahidi wakusingizia kuhumu hi kesi dhidi ya washitakiwa.
 
Cross examination ya hawa jamaa itawaweka mawakili wa serikali kwenye wakati mgumu sana, hawa wanatoa yote kichwani bila kukaririshwa, sasa ni jukumu la mawakili wa serikali kuhakikisha wanawaondoa kwenye reli watu ambao wanatoa ukweli walioupitia.
Uko sahihi Sana, na wakijiroga kuchimba Sana watakutana na zigo la mavi chini.
 
Ni rahisi tu ujue. Serikali ilitaka kufanya madhara Kwa Mbowe, ilivyosikia kaajiri makomandoo ikawageuzia kibao. Hakuna ugaidi wala Dada yake ugaidi.
 
Hii kesi naifuatilia leo kwa mara ya kwanza. Ni maneno very serious hayo yamesemwa na huyo Luteni Commando Dennis Urio. Hii kesi haiwezi kuhatarisha amani ya nchi? Kwa nini hayo maneno yameruhusiwa kusemwa without comment? Zana za ulipuaji zimepatikana. Au ugaidi ulikuwa ufanyike vipi?
Uhalifu si unamkamata mtu na mirungi yake unampeleka mahakamani? Mirungi ambayo unaitaja.
"Utasema kila kitu".Yaani kesu haina ushahidi inategemea watuhumiwa waseme kila kitu.
 
Uko sahihi Sana, na wakijiroga kuchimba Sana watakutana na zigo la mavi chini.
Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
 
Wawapandishe cheo kwa kufaulu kuwapeleka mahakamani,Ila mmoja wa watuhumiwa Linjenje mbona haonekani?hao googluk na jmanne na mahita watueleze huyu mtuhumiwa yupo wapi?
 
Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Sasa imeisha vipi, si inategemea walikuwa wanakutana nae kwa sababu gani?
 
Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Ukiwa na akili nyepesi kama ya Kuku wa kisasa utaona kuna la maana, kuna kosa kwenda Moshi? Kuna kosa kukutana na Mbowe? Kuna kosa wamefanya Kwa kutaka kuajiriwa na Mbowe kama walinzi?
Kosa vyote siyo akili. Ingredients za ugaidi ni pamoja na kwenda Moshi, kukutana na Mbowe bila ushahidi wa ugaidi, kukutana Tu ni ingredient?
 
Hujui hata kesi ilivyo,unalipuka tu utadhani umetoka chooni,kesi hii itamtia hatiani Mbowe kwa ushahidi uliojitosheleza na mahakama ithibitishe uhusikaji wake na ugaidi.toka mwanzo Ni stori za kutengeneza ndio maana mawakili wa serikali wameishiwa hoja na kufunga ushahidi.
 
Mbona wako Askari wengi tu toka kwenye Majeshi yetu walioajiriwa kwenye makampuni mbali mbali binafsi za Ulinzi??? Hawa Jamaa wanahangaika kuhamisha magoli.
 
Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Kwamba kumfahamu Mbowe n kosa?
Kwenda moshi n kosa? Basi wachaga wote wafungwe
Kukutana na Mbowe n kosa? Tuanze mfunga Speaker basi

Kuna watu mnawaza kwa kutumia matako
 
Kwani kesi ya Jamhuri ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…