Mpaka Jaji anasema ana mashaka Shahidi anapewa madesa, Wakili Matata akamwambia Shahidi amuangalie Jaji kila anapojibu ili kumtoa mashaka Jaji , hahahaha, dah, huyu jaji huyu, kweli wa mchongoShaidi wa leoooo
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Ugaidi uko kwenye detention register, tusubiri ikifumuliwa yote.
Kwa ushaidi upi we mbwawamfunge chap huyu gaidi..haya makelele ya ubw## koko yaishie.ushahidi umeenyoka kabisa kesi inatakiwa iwe imeisha muda mrefu sana...hawa mawakili kazi yao imekuwa nikuweka mapingamizi tu ili kuisumbua mahakama ila hakimu kwa wanavyokuchosha..mfunge gaidi na viboko juu
Hii nchi ngumu sana unaweza pandwa na hasira ukafanya jambo la ajabu kwa haya yaliyofanyika kwa watu hawa bila kujali wana makosa au la.Ili kupata amani ya moyo wangu naona ni vema nikaacha kabisa kufuatilia hili kesi!
Inaumiza mno,Kwa mtu aliyewahi kuingia kwenye 18 za Polisi atanielewa vizuri zaidi!
ha ha ha ha, jamaa dog siyo 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa ushaidi upi we mbwa
Kinachotakiwa ni kuthibitisha huo ugaidi, hii hoja yako haihalalishi chochote na wewe umeingia kwenye like grupu la kuweka pini kwenye detention register.Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Na bado watadhalilika sana..Johnson John , Ila Polisi imedhalilika mno kwenye kesi hii hadi aibu
Kidando na Kibatala kuna battle...WS Robert Kidando: Hiyo Objection ni quite Unprofessional
Kibatala: OBJECTION Mheshimiwa Jaji naomba aondoe hilo Neno Unprofessional
Jaji: ameshaliondoa
Kibatala: Kama ameshaliondoa Sawa
Huo ndio uwezo wa utunzi wa anaeandaliwa kurithishwa u IGP; Kamanda Kingai.CCM Haikuweza kuwashitaki wahujumu wote Hadi Akina Singh na IPTL yake wooote walionekana sio wahujumu wanaostahili kufikishwa ndani ya jengo hilo!
Ila CCM ikaona Mbowe anastahili kuhukumiwa ndani ya jengo hilo Kama mhijumu na gaidi anaefadhiri Ugaidi kwa sh 600,000 kwa watu watatu
1. Wakafyeke miti Moro - Iringa
2, wakachome vituo vya mafuta Dom - Dar
3. Waitishe maandamano nchi mzima.
4. Wahakikishe nchi haitawaliki.
Kumbuka hayo yote kwa 600k.
Ukitoa hela ya kununulia panga na mashoka na chainsaw moja hela inaisha.
Huo Ni Ugaidi au ujinga tuambieni ninyi mnao imba hizo pambio!
Ndio ugaidi huo ?Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Yaani kwa maoni yangu so far ushahidi wote uzito wake ni wa wizi wa simu - hakuna ugaidi hapo tunapotezeana muda.Kinachotakiwa ni kuthibitisha huo ugaidi, hii hoja yako haihalalishi chochote na wewe umeingia kwenye like grupu la kuweka pini kwenye detention register.
KUKUTANA NA Mbowe ni ugaidi?Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
kilaza wa jamhuri weweKesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Ameshajibiwa, Kama kukutana na Mbowe ni kosa, basi akamatwe kwanza Spika NDUGAI.Makosa ya ugaid na uhujumu uchumi
Kama alitaka lipua vituo vya mafuta alitakiwa kukutwa na milipuko japo hata hiyo isingetosha kumfunga
Kama alitaka kata miti alitakiwa kutwa na mashoka na chainsaw japo hata hiyo isingetosha kumfunga
Hata Ile bastola ilipaswa pima DNA na finger print, hata hivyo isingetosha sababu haikufanya tukio lolote
Hakuna kosa kukutana na mtu au kufanya kazi kwa mtu , ila hiyo kazi utakayofanya ndio kosa
huyu afande Denic Urio teacher wa makomandoo pale 92 KJ ndiyo atakuja kuhitimisha ushahidi wa Jamhuri kuhusu Ugaidi wa Mbowe mahakamani, Kwamba ndiye aliyetumwa kusuka mpango mzima na kutafuta makomandoo wastaafu wa kuifanya kazi.Shahidi: Niliwaona akina Goodluck, Chuma Chugulu na baada ya muda nilisikia mtu akiwa analia kule nyuma kwenye magari mabovu, na baada ya muda nilimtambua aliyekuwa analia Kule Nyuma kwenye magari mabovu kuwa ni DENIS URIO
Matata: Ulimtambuaje DENIS URIO
Shahidi: Namfahamu, Ni Mwalimu wangu, nilishawahi KUFANYA naye Kazi 92 KJ
Matata: Walikuwa Wanafanya naye nini
Shahidi: Sikuona Walichokuwa wanafanya, Ila Nilimuona wakati wanamtoa analia, kwa ufahamu wangu nikajua alikuwa anapigwa
Mawakili wa SERIKALI wanajifanya nao ni Majaji, kwanza wanaingia muda wanataka, wanasimama wakati wowote ku-intact mahakama bila kutaja kifungu cha sheria.Kumbe Kibatala ni dhaifu kiasi hiki- INFERIORITY COMPLEX
Peter Kibatala: Hatari ninayoona hapa Kwamba Kuna watu wanajiona wao ni bora Kuliko Wengine, Kesi Ya Mtobesya Vs DPP hawa waendesha Mashtaka Walishapewa Agizo kuwa sisi wote ni Mawakili hakuna aliye Juu Mahakamani..
Kibatala: Mahakama hapa Imeshatoa Rulling ndiyo Maana Hapa Mtobesya ameacha Kufanya Submission kwa Maelekezo Yako, halafu anasimama Mtu Mbele yako akijua Kuna Amri ya Mahakama na Kuanza Kuku' challenge wewe wakati Mahakama Yako ipo Funtus Officio..