Unataka niopngeze na hilo- HAPANA- Hhilo ni lako weweWamekiri kufanya ugaidi...!?
Sheikh wa mkoa gani?Shahidi unatakiwa kuwa kama Jamaa, Kataja Hadi Sheikh Mkuu wa Mkoa kuwa yuko ndani, Kataja Wote.
Ametaja ni shekh wa mkoa wa Manyara.....Sheikh wa mkoa gani?
Wana Jf kutoka huo mkoa wana ABC yoyote kumhusu huyo Sheikh?
Umezira? Kesi hii si mkezo ushahidi unaflow vizuri. Sikuile alikuja Obama bila mlinzi, akaja Clinton na walinzi 3, baadaye Netanyahu walinzi 4. Iweje mbowe ambaye hata ubunge kashindwa alindwe na ex-Commandos ishorini?wamfunge chap huyu gaidi..haya makelele ya ubw## koko yaishie.ushahidi umeenyoka kabisa kesi inatakiwa iwe imeisha muda mrefu sana...hawa mawakili kazi yao imekuwa nikuweka mapingamizi tu ili kuisumbua mahakama ila hakimu kwa wanavyokuchosha..mfunge gaidi na viboko juu
Sheikh wa mkoa gani?
Wana Jf kutoka huo mkoa wana ABC yoyote kumhusu huyo Sheikh?
Mh Kuna Sheria inakataza kukutana na Mbowe?Kesi imeisha
1. wamekiri kukusanywa na kumfahamu Mbowe
2. wamekiri kwenda Moshi
3. wamekiri kufanya mikutano na Mbowe kwenye maeneo yanayomilikiwa na Mbowe
Hizo ni ingridient za kesi ya Jamhuri
Mbowe Ni mtuhumiwa wa kosa la Ugaidi sio ukituhumiwa Ni mahakama inayothibitisha kosa sio washitaki.Mkuu swali langu ni rahisi tu- Mbowe yuko mahakamni kwa kosa gani?
Mkuu ni rahisi kwa maccm kusema Mbowe ni gaidi ila kuthibitisha ugaidi wake, hata akiitwa raisi wa malaika atashindwa kuthibitisha.tangu kesi ianze sijaona popote kwenye Ushahidi wa Ugaidi zaidi ya mbege ya pale Rau madukani kwa mama P.
Ni swali la msingi sana hili. Naona mfumo mzima ulioandaliwa chini ya utawala huu ni kulitumia jeshi la polisi kufanya vitendo vya kihalifu kwa wananchi.Hii Series itakua na Season nyingi sana.
Nakaa natafakari hivi ni wananchi wangapi wameshapitia mateso na dhuluma kiasi hichi kutoka kwa askari police. [emoji848]
NCHI imeoza KWASABABU ya muongozo mmbovu. KATIBA mpia si Tu NI suluhisho,na wakuilinda hiyo KATIBA ,ndio wamuhini zaidi. Kwakweli nilikuwa sahihi kumkataza mwanangu kujiunga na jeshi la Polisi.Hii kesi kwa jamuhuri/serikali, ni sawa na makalio ya kuku kwenye upepo mkali.
Aliyebambikiwa kesi hii ni mtu maarufu sana nchini na mwenye influence kubwa kwenye jamii.
Just imagine kwa wananchi wa kawaida ambapo haya masuala yameshazoeleka kabisa. Ndiyo maana hii nchi haiwezi kupata maendeleo chini ya mfumo huu tulio nao.
Ukatili na ujinga wa polisi kwa wananchi wa kawaida ni jambo ambalo limezoeleka. Hakuna competence kwenye kila nyanja ya utawala nchini mwetu.
Tumeona jinsi ambavyo jamuhuri na vyombo vyake vya dola jinsi ambavyo wamekuwa exposed.
Hatua nzuri ya kwanza ya kuanza kuondokana na haya yote ni katiba mpya. Katiba kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi ndiyo mwanzo wa muafaka.
Kwa hoja yako..nikiashiria yakwamba haunatofauti na toilet paper ya chooni..ila bora ile toilet paper kuliko wewe kwasababu inarangi nyeupe.
Wewe uliyetumamu nenda kashindane nae.Kumbe Kibatala ni dhaifu kiasi hiki- INFERIORITY COMPLEX
Peter Kibatala: Hatari ninayoona hapa Kwamba Kuna watu wanajiona wao ni bora Kuliko Wengine, Kesi Ya Mtobesya Vs DPP hawa waendesha Mashtaka Walishapewa Agizo kuwa sisi wote ni Mawakili hakuna aliye Juu Mahakamani..
Kibatala: Mahakama hapa Imeshatoa Rulling ndiyo Maana Hapa Mtobesya ameacha Kufanya Submission kwa Maelekezo Yako, halafu anasimama Mtu Mbele yako akijua Kuna Amri ya Mahakama na Kuanza Kuku' challenge wewe wakati Mahakama Yako ipo Funtus Officio..
Atafungwa mamayo na babayo kwanza.shahidi kafundishwa kuja kusema maneno ya kutia huzuni mahakamani akifikiria yatamuokoa yaani hata aseme alilishwa mavi jela iko palepale hao ni magaidi
Wewe una akili timamu?? mafisadi wote wapo ccm.Si chadema walisema mahakama ya mafisadi na majizi haipo?
Inakuweja tena Mungu wao anahudhuria hapo.
LEO MAWAKILI WA SERIKALI WAMEPEWA ANGALIZO ZURI YA KUACHA KUAMINI KUWA WAO WANAJUA , WAAMINIWE NA WAKUBALIWE KILA KITU MBELE YA JAJI KISA WAO NI UPANDE WA SERIKALI
Unawakosea sana Kuku wa kisasa kwa kuwalinganisha na hizi takataka inzi za kijani!Ukiwa na akili nyepesi kama ya Kuku wa kisasa utaona kuna la maana, kuna kosa kwenda Moshi? Kuna kosa kukutana na Mbowe? Kuna kosa wamefanya Kwa kutaka kuajiriwa na Mbowe kama walinzi?
Kosa vyote siyo akili. Ingredients za ugaidi ni pamoja na kwenda Moshi, kukutana na Mbowe bila ushahidi wa ugaidi, kukutana Tu ni ingredient?
Jaji anasikiliza na kuandika, lakini ana uwezo wa kiona shahidi anaelekezwa majibu, kuliko liwezavyo kiona jopo la mawakili wa serikali. Huyu apewe hadhi ya super judge.Jaji ni Mpumbavu toka siku ya kwanza ona anasimama Kama shahidi wa mashitaka. Alioni aibu anasema mtuhumiwa AMEFUNDISHWA kujibu Kisa atetemeki kujibu au? Anajibu kwa ufasaha sababu yeye ndiyo aliyepigwa anaeleza kitu halisi. Siyo mashahidi wake wa kufundishwa.