Yaliyojiri Mashariki ya kati

Yaliyojiri Mashariki ya kati

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
1,389
Reaction score
2,025
The Israeli occupation army is moving its troops to the Lebanese border ahead of an increasingly likely ground invasion of southern Lebanon.
 
Attachments

  • VID_20240626_193614.MP4
    3.9 MB
Hata Gaza mlisema hivyo hivyo. Sasa hivi imebaki vifusi tu
Kwahyo malengo ya israel ilikua kudondosha maghorofa ya gaza au kuifuta hamas na kurudisha mateka wote nyumbani?maana malengo waliyoweka hayajafikiwa hata moja mmebaki kujisifia kugeuza kifusi maghorofa na huko north wanapoenda ndio wanaenda kuangamia km wameshindwa kuifuta hamas ambao wanarusha makombora yasiyokuwa na muongozo wataiweza hezbollah wenye guided missiles.
 
Vita dhidi ya ugaidi ni ngumu sana kuliko vita dhidi ya jeshi kamili. Kumbuka gaza ina watu zaidi ya mil 2 halafu Hamas wamejichanganya na raia wa kawaida so Israel inabidi ajitahidi kupunguza madhara kwa raia ndio maana vita inachukua muda mrefu.
Ila lengo liko pale pale kuutokomeza ugaidi
 
Kwahyo malengo ya israel ilikua kudondosha maghorofa ya gaza au kuifuta hamas na kurudisha mateka wote nyumbani?maana malengo waliyoweka hayajafikiwa hata moja mmebaki kujisifia kugeuza kifusi maghorofa na huko north wanapoenda ndio wanaenda kuangamia km wameshindwa kuifuta hamas ambao wanarusha makombora yasiyokuwa na muongozo wataiweza hezbollah wenye guided missiles.

Hawa unaobishana nao huwaambii kitu kwa myahudi, hata uwaambie ukweli gani hawakuelewi, wakiona maghorofa yanaangushwa na watoto kufa wanafurahi, yani mkuu hawa watu sio wa kufanyanao urafiki hata kidogo, hawa sio wenzetu.
 
Kama nyie kwa waarabu
 
Hatuwezi kufanya urafiki na magaidi
 
Back
Top Bottom