Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Unajua ukiona kwa mwenzio kunawaka moto tafuta soln ukimcheka kwako kutaungua na yeye ananunua keki ya kumshukuru mungu

ndugu zangu jkt??? Hee kunanii huko nguvu mnazoonyesha simba na yanga kwa nini msizitumie kila mechi

anyway mungu awajalie msishuke daraja haya i maombi yangu kwa mungu
 
Masikini.. sisi vibonde wetu ni yanga tu hawa wengine ni tatizo...
 
Duh,,,,,,,sikuwepo hewani na sikujua kama leo tunacheza.
 
Kwa kuwa nyinyi mmezoea kwa miaka 3 sasa unadhani kila mtu anafanya hivyo hivyo. Mgambo tumemsaidia tu maana mtu wetu kibonde wetu tunajua hafiki mbali.
Alikuwa point 8 tukashusha mpaka 2. Hizo 5 ni ndogo sana kwetu.
 
Yanga kakupita point tano plus anamichezo mingapi mkononi? Sometym shirikisha ubongo wako kabla ya kutema hizo pumba.
 
Umeliona hilo,nilisoma pumba aliyoiandika,nilpoangalia jina lake,na kukumbuka hotuba za rage nikajua tatizo ni nini
 
Kwa kuwa nyinyi mmezoea kwa miaka 3 sasa unadhani kila mtu anafanya hivyo hivyo. Mgambo tumemsaidia tu maana mtu wetu kibonde wetu tunajua hafiki mbali.
Alikuwa point 8 tukashusha mpaka 2. Hizo 5 ni ndogo sana kwetu.

Sisi tuna mechi 2 mkononi kwa taarifa yako, subiri mechi zilingane kwanza kisha tukokotoe tofauti ya pointi, nimeona nivunje kanuni zangu nikujibu kwani unatia huruma sana.
 
Yanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????
 
Unajua ukiona kwa mwenzio kunawaka moto tafuta soln ukimcheka kwako kutaungua na yeye ananunua keki ya kumshukuru mungu

ndugu zangu jkt??? Hee kunanii huko nguvu mnazoonyesha simba na yanga kwa nini msizitumie kila mechi

anyway mungu awajalie msishuke daraja haya i maombi yangu kwa mungu

hawezi kushuka daraja kaburu atabadilisha kanuni kama alivyobadilisha kanuni ya kadi ya njano akina malinzi watakwambia kanuni ilishabadilishwa
 
Yanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????

Nawapa uchumi wa mambo ya nyumbani (home economics ) kilichobaki wajifunze tuu kushika mwiko
 
avatar72658_12.gif

kuna watu wachokozi sana
 
Back
Top Bottom