cookery .hahahahahaaaaaaaYanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cookery .hahahahahaaaaaaaYanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????
wamekalia leo Tanga kwa JKT Mgambo watoto wa Handeni kwa Msisikwa nini mkuu umewaza hivyo
Yanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????
Tena wamekalia vingi sana, viwili si haba''wamekalia leo Tanga kwa JKT Mgambo watoto wa Handeni kwa Msisi
Pdidy kweli upo sirias, hadi umeandika kwa mwandiko mzuri na unaosomeka namna hii!!!!hongeraNi watani wangu lakini naona wanapoelekea si kuzuri ..ukiwa kama mtanzania unatoa ushauri gani kuisaidia simba kujinusuru kushuka daraja
mawazoyenu kuzingatiwa
ikumbukwe simba ni moja ya timu kubwa kwenye ligi kama itaondoka basi ata u/taifa utakuwa mgumu kufikika na sisi yanga tumejipanga kuwafanyia dua ijumaa ijayo kuwaombea wakae sawa kama kuna dudumizi humo ndani
Kila lenye kheir leo liwaendee vijana wa MGAMBO JKT kwenye mawindo yao ya kumuua paka jike wa Kariakoo.....