Hahahaaa, jiulize kwa wakati wako.kwa hiyo mgambo siku hizi ni yanga..:shocked:
Kwa kuwa nyinyi mmezoea kwa miaka 3 sasa unadhani kila mtu anafanya hivyo hivyo. Mgambo tumemsaidia tu maana mtu wetu kibonde wetu tunajua hafiki mbali.
Alikuwa point 8 tukashusha mpaka 2. Hizo 5 ni ndogo sana kwetu.
Hahahaaa, jiulize kwa wakati wako.
Yanga kakupita point tano plus anamichezo mingapi mkononi? Sometym shirikisha ubongo wako kabla ya kutema hizo pumba.
Kwa kuwa nyinyi mmezoea kwa miaka 3 sasa unadhani kila mtu anafanya hivyo hivyo. Mgambo tumemsaidia tu maana mtu wetu kibonde wetu tunajua hafiki mbali.
Alikuwa point 8 tukashusha mpaka 2. Hizo 5 ni ndogo sana kwetu.
Yanga-Mathematics, Azam-Physics, Mtibwa-Chemistry, Kagera-Geography, Mbeya city-English, Mgambo jkt-History. Je, MIKIA FC unawapa somo gani????
Unajua ukiona kwa mwenzio kunawaka moto tafuta soln ukimcheka kwako kutaungua na yeye ananunua keki ya kumshukuru mungu
ndugu zangu jkt??? Hee kunanii huko nguvu mnazoonyesha simba na yanga kwa nini msizitumie kila mechi
anyway mungu awajalie msishuke daraja haya i maombi yangu kwa mungu
Yanga-Mathematics,
Azam-Physics,
Mtibwa-Chemistry,
Kagera-Geography,
Mbeya city-English,
Mgambo jkt-History.
Je, MIKIA FC unawapa somo gani????