Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Dakika ya 30 bado milango ni migumu kotekote.
 
dk 31' Mgambo wanakosa goli baada ya faulo iliyopigwa kwenda golini kwa Simba kutemwa na Ivo Mapunda
 
Refarii wa mchezo wa leo anaanza kuwabeba Mgambo
 
dk 36' bado mambo ni magumu, japo Emmanuel Okwi ameshindwa kutumia nafasi aliyoipata
 
Kuna mtu namtafuta humu. Wazima lakini, nitokako sisi kheri tu...
 
Kazi ipo sasa hadi sasa au ndio babu kasema ushindi ni ungwe ya pili nini..
 
hawa Mgambo wamekamia sana mechi ila Super Okwi atawatuliza tuu...dk 40 bado milango ni migumu
 
Mohammed Sammata anamchezea rafu mbaya Jonas Mkude lakini refa hajatoa kadi yoyote
 
Kagera suger wanapata goli, yanga 2-1 kagera.
 
Messi Singano anajaribu shuti la mbali lakini mpira unapaa juu ya lango
 
Kagera suger wanapata goli, yanga 2-1 kagera.

Kagera mjitahidi sana muongeze japo la pili na tatu na la nne hata la tano ikiwezekana, mabeki wa Yanga wa leo ni kama chujio.
 
Mgambo wanapata goli hapa dk ya 45
 
Bado nina Imani na Simba, Tutashinda acha hao wanaohonga ili washinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…