Wafanye mambo adimu huku wakifunga na magoli, Taifa majamaa yanaongoza mbili bila, matokeo yakiwa hivi tutakuwa hatuna raha.Messi anafanya mambo adimu hapa Mkwakwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanye mambo adimu huku wakifunga na magoli, Taifa majamaa yanaongoza mbili bila, matokeo yakiwa hivi tutakuwa hatuna raha.Messi anafanya mambo adimu hapa Mkwakwani
Refarii wa mchezo wa leo anaanza kuwabeba Mgambo

Hivi ni kweli?
Kagera suger wanapata goli, yanga 2-1 kagera.
Balaa tena hili.Mgambo wanapata goli hapa dk ya 45