Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
kipa wa mgambo anaokoa shuti kali la okwi
Dk 62' Mgambo wanapata penati baada ya mapunda kucheza rafu na kupata kadi nyekundu
Dk 62' Mgambo wanapata penati baada ya mapunda kucheza rafu na kupata kadi nyekundu
duuuuu
Mgambo JKT 2 - Simba SC 0.
Mgambo JKT anapata goli la pili kwa penati
Mgambo JKT 2 - Simba SC 0.
Goooooooal,mgambo 2 tunguli fc a.k.a wahapa hapa sifuri
Bado hawajaweka kambani!Dk 62' Mgambo wanapata penati baada ya mapunda kucheza rafu na kupata kadi nyekundu
Mapunda ametuhujumu wazi kabisa
una kiherehere wewe