Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super Okwi anakwenda nje anaingia Simon Serenkuma
Kudadeki zake huyu alifikiri anaenda kutafuna miwa ya pale manungu!!Huyo aliyeingia badala ya Okwi anitwaje tena?
sio kila siku ni Ijumaa
Mnyama mkali wa mwituni, leo kasi ni ile ile.. lazima wagambo tuwakalishe kwenye uwanja wao, mashabiki wao na hata refa wao.
Nilikua sikuoni kabisa.Haya tuwe pamoja hapa jukwaani hadi filimbi ya mwisho.
Nakuombea tu msiongezwe la 3 bora haya haya mawili.
Wenye jukwaa wame log out