Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Huyu simba gani mjini anaunguruma akienda porini ana ufyata mkia....simba chai nini?
 
Leo dua la kuku limempata mwewe.
Teh teh teh teh teh....
 
Tupo hapa nifah nipe khabari binti
Nilikua sikuoni kabisa.Haya tuwe pamoja hapa jukwaani hadi filimbi ya mwisho.
Nakuombea tu msiongezwe la 3 bora haya haya mawili.
 
Last edited by a moderator:
wale wa mashabiki wa Segera, Kwa msisi, Kange, Amboni na kwingineko wanaanza kuondoka
 
Nilikua sikuoni kabisa.Haya tuwe pamoja hapa jukwaani hadi filimbi ya mwisho.
Nakuombea tu msiongezwe la 3 bora haya haya mawili.

Hata mimi naomba hivyo hivyo binti...Umekula lakini?
 
Hahahaaa MUSSOLIN umenichekesha sana kwa hizi comments zako hapa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…