Yaliyojiri mechi ya Simba na Mtibwa sugar tar. 14/03/2015

Mbona kama unakonyeza weka wazi mtoto mzr
 
tupieni update hapa wadau shukrani.
 
Simba Leo tunawatafuna wakata miwa wa turiani morogoro

Samahani Viol naomba matokeo ya simba na ccm last wk nipo mbali na mtandao napata kwa kubahatisha
 
Last edited by a moderator:
wakuu tupeni update jamani,dakika ya ngapi?then ngapi ngapi?
 
Mtibwa piga mbumbumbu hao

Kwasababu mleta uzi ameitakia ushindi Mtibwa!

Kila la heri Mtibwa.

Mtibwa timu piga hiyo mikia irudi kwao bunju ikalime shamba lao la viaz.

Hilo harina ubishi kama simba leo atafungwa huwa wanakamia timu ya yanga pekee!


Kumbe hii post ni kijani tupu rangi ya nuksi yahoo ukiweza badili upepo ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hakuna mechi yoyote inayochezwa, maana hakuna updates zozote.
Please moderator futa hii topic.
 
Mgosi naona anatutesa sana Simba, huku Okwi akiwatesa Mtibwa
 
Sawa, mmetufunga lakini ligi yenu ndo imekwisha hadi mwakani mtakapokutana na yanga kinachofata kwenu ni vilio

Uuuuwiiii sijawahi furahi kama leo japo matokeo ni ya longi yahoo hama timu kaka
 
Last edited by a moderator:
Jamani mpira ngapi ngapi ?, wazee wa midrooo wanaendeleaje taifa na midrooo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…