Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tena uwanja wa Taifa kutakuwa na mpambano wa kukatana shoka kati ya Simba SC vs Mtibwa suger.
Mpambano huo utakuwa muhimu sana kwa kila timu, kwani timu zote zitakuwa zinasaka point 3 ili kujiweka katika mazingira mazuri katika msimamo wa ligi.
Naitakia Mtibwa ushindi mnono katika mchezo wa leo.
FULL TIME SIMBA 1-0 MTIBWA. mfungaji Emanuel Okwi dakika ya 90.
Hongereni simba kwa ushindi.
Kidude kimoja tu hahahahahaha!!! Asante Okwi....
Gud guda gudest
Okwi ni sheedah!!
Yeah, huyu jamaa ni fundi.Ni sheedah ya Majiji. Huyu mtu ni hatari kwa maisha ya maadui zetu, inabidi tumuwekee ulinzi wasije wakam-Mafisango. Maana goli 5 fedheha jaamani
Kuna kibibi leo sikioni kwenye comments sijui kimepatwa na masaibu gani?
Yeah, huyu jamaa ni fundi.
Emanuel Anord Okwi"the Terminator"
Kinaitwa cha maudhi
Kuna kibibi leo sikioni kwenye comments sijui kimepatwa na masaibu gani?
NAFURAHI KWA USHINDI LAKN NISEME UKWELI, KIWANGO CHA LEO KILIKUA CHINI SANA, NAMPONGEZA SANA OKwi kwa kujituma muda wote wa mchezo, ila ukweli ni kwamba kuna wachezaji wanahitaji mapumziko kama vile Mkude Jonas, hayupo kabisa uwanjani, kadhali karibu viungi wite wanaoiga back oass I dont know why, yule Simon naye anacheza kimadeni deni nadhani, na heri Danny afungashe tu...kwa waliotaka Maguri atoke ni kutoelewa falsfa ya mpira, kwanza kama anegingia Awadh ni kwamba tungekuwa tunajitakia draw kabisa, kifupi Simba haina striker wa kusimama kwa sasa na full beki zinapanda vizuri hasa Kessyb lkn wanakosa umahiri wa kupiga ndizi au miezi
Maguri anachoka kabla hajakwisha na washabiki wanachangia kuzidi kumuondoa mchezoni kwa makelele yasiyo na tija
kwa mara ya kwanza tumeshid na huku roho yangu ikiugulia kiwango, tumekuwa kama homa ya vipindi