KARIBU TENA SIKU NYINGINEAsante mkubwa
Pamoja sana kiongoziLa kwanza Ngoma la pili Tambwe pasi ya ngoma.
Simba ni majunguSisi yanga ni ushindi tu
YANGA ILIPO TUPO.Kwani hli ni jukwaa la michezo??
Ukiona hivyo huyo ni mikia huyoKama sio la michezo,usichangie bac....
Roho inakuumaJf Mods do the needful .
ATNKwani mechi haionyeshwi wakuu?
Ngoma katoka?Dk80:
Yanga 2-1Azam