Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

azam tumempiga mara mbili mfululizo msimu uliopita sijui unasemaje,
 
Na hapo hajavua kofia si unakumbuka walivyovua kofia zao yeye na wazee wenzake kilchotokea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Walipingwa 5 na mnyama alipovua kofia

Na sasa amesimamisha uanachama watapigwa 8 na mnyama.. Mzee ana nguvu sana Yanga, yaani kauli yake tu imesababisha manji kuachia then wanachama kuvurugana..!?
 
Leo nalala na amani,kiroho Safi. Nitaota ndoto nzuri kama vile nimekua bilionare na namiliki Mali nyingi na nina watoto wakali kama Beyonce na nitafanya madili makubwa na bilgate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…