Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

azam tumempiga mara mbili mfululizo msimu uliopita sijui unasemaje,
 
Mashabiki wa Yanga muda huu
CqCZxsgWAAEt79a.jpg

***** mzee mzima anaingia mbuga za wanaume ameshain ha haaa utakufa mzee
 
Na hapo hajavua kofia si unakumbuka walivyovua kofia zao yeye na wazee wenzake kilchotokea 😀😀😀😀😀
Walipingwa 5 na mnyama alipovua kofia

Na sasa amesimamisha uanachama watapigwa 8 na mnyama.. Mzee ana nguvu sana Yanga, yaani kauli yake tu imesababisha manji kuachia then wanachama kuvurugana..!?
 
Leo nalala na amani,kiroho Safi. Nitaota ndoto nzuri kama vile nimekua bilionare na namiliki Mali nyingi na nina watoto wakali kama Beyonce na nitafanya madili makubwa na bilgate.
 
Back
Top Bottom