Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inawezekana ikawa sababu kweli mkuu..... Huyu Akilimali huyuHaya sasa mkodisheni hiyo timu huyo ponjoro wenu muone kazi,chezea akilimali
Kandambili mzimu wa manji ushaanza kusumbua..!??
Poor MindsHii inawezekana ikawa sababu kweli mkuu..... Huyu Akilimali huyu
wamemfukuza yule mzee....alikuwa mtaalamu wa sayansi asili...sasa watapigwa tu....ndala hovyooovyura mkobize kufatilia wanaume wanachofanya
Aisee acha tu. Yanga naipenda lakini tukifika hapa huwa nachoka kabisa, najiuzulu ushabiki wa vilabu vya ndaniNa hapo hajavua kofia si unakumbuka walivyovua kofia zao yeye na wazee wenzake kilchotokea 😀😀😀😀😀
Mashabiki wa Yanga muda huu
![]()
Hahaha wanaume gani mnaolambishwa Icecream...vyura mkobize kufatilia wanaume wanachofanya
Walipingwa 5 na mnyama alipovua kofiaNa hapo hajavua kofia si unakumbuka walivyovua kofia zao yeye na wazee wenzake kilchotokea 😀😀😀😀😀
Niliwaambia...Watamuangukia Mzee Akilimali
penaty has no KINGDah .. Kessy kakosa penalty. Kumbe hatukukosea kumtema alipotufungisha kizembe siku ile.