Na hapo manji hajaingia uwanjani naona leo lazima hao wa hispania watafungishwa vilago bado mapeemaYanga kucheleeeeeeeee Ngoumaaaaaaaaaa 1 Tmbweeeeeeeeeeeeeee 1=2-0
Kha...! Ina maana hatutaona laivu tena kupitia azam tv ligi yote....?TFF wameipa kandarasi TING ndiko kuna ATN wanaonesha game
Mshaanza,ligi ikianza ndio mtakunywa Sumu kabisa.
Kha...! Ina maana hatutaona laivu tena kupitia azam tv ligi yote....?
Kweli tff wameoza
cha ATN.Hiyo TING ndio nini tena na inapatikana wapi kwa hapa DAR?.
Kapiga NgomaVipi goli la pili kapiga nani?
Mkuu sisi wengine tupo nje ya matangazo tafadhali tunaomba updatesDk ya 2,Yanga2-Azam0
Na hapo Manji bado hajawasili kutoka usYanga mbele daima!
Kivipi?...
Huu upumbavu wa Azam kufungwa kila mara na Yanga kiukweli unanikera mie!!!
Azam mpoje ninyi!!!?
Huu upumbavu wa Azam kufungwa kila mara na Yanga kiukweli unanikera mie!!!
Azam mpoje ninyi!!!?
Nafikiri match ya ngao ya hisani ipo tofauti na ligi kuu.Taratibu mkuu,si juzi juzi tu tuliona wamesaini kandarasi ya bill 23?,hii ya ATN imesainiwa lini?
Kapiga Ngoma