Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Baada ya kuwapa kipigo kikubwa sana wazimbabwe Yanga leo inarudi nyumban kupambana na hawa wana kamua miwa wa kutoka huko Kagera.

Yanga ambayo inaingia uwanjani ikiwa na Morali kubwa baada ya kuwa piga kiganja Platinum toka zimbabwe itakuwa nyumban leo ikishindana na Wana Sukari toka Kagera . Safu ya ushambuliaji ya Yanga inaonekana kupata makali wakati wa mechi dhidi ya Platinum .

Tujae kwa wingi kiwanjani kushuhudia Pambano hili la Kabumbu, Gozi, Soka au Mpira wa Miguu.

Matangazo haya yatawajia kwa Hisani ya Jamii forums.

Hiki ni kikosi ambacho nimepokea kutoka upande wa Yanga kitakochoanza pambano hili la leo.
Yanga:
Ally Mustapha,
Juma Abdul,
Oscar Joshua,
Mbuyu Twite,
Kelvin Yondani,
Said Juma,
Salum Telela,
Haruna Niyonzima,
Amissi Tambwe,
Mrisho Ngassa
Simon Msuva.

Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.

Wadau wenye list Mbadala tunaomba mturushie hapa kulingana na habari tulizopata hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Yanga hapa JF ndugu mkolaji kuwa kuna wachezaji ambao hawatakuwepo . naye ameahidi pia kutujulisha hivi punde huku akiendelea kuwasiliana na Kocha wa Yanga ili ampatie Kikosi cha Leo.

===============
===============


Matokeo ya Mwisho: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar
 
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.
 
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.

Mkolaji nashukuru kwa kutukumbusha hili maana aliyenirushia hii list nadhani hakuzingatia mambo hayo sasa badala yake tupe mibadala yao. hao watu watatu. ingawa naamini bado ushindi utabaki pale pale ukizingatia Kagera Sugar si team yenye upinzani kipindi hiki na wataingia kwa woga sana hasa baada yanga kuwa piga kiganja wale wazimbabwe.
 
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.

Kwa Niyonzima atacheza Hassan Dilunga, Nafasi ya Yondani Yupo Rajab Zahir na Canavaro pia amepona na kwa Makapu atacheza Mbuyu Twite hii ndio Yangaaaaaaa.
 
Niyonzima Out ,Ana Kadi nyekundu!
 
halafu mkolaji achana na kutembea na vitoto vidogo kama unavyoonekana kwenye avatar yako. ndo Yanga mlivyo mkivipatia vitimu vidogo vidogo kama Platinum mnavigonga hasa ... nawe nakuona kwenye avatar yako hapo unakakiss katoto kashule halafu unapita mitaani huku unajidai we kidume. acha hizo bwana.
 
Last edited by a moderator:
Atupele Green a.k.a "dangerous striker" japo wewe ni mnazi wa ndala, nina imani leo utanirejeshea tabasamu langu lililopotea tangu jumapili.
 
Vitoto kama BDF XI, PLATINUM, MBEYA CITY na vingine huwa sivikosi nikivimendea.
Ila leo nitakuwa na kitoto bomba cha form two kutoka kule Misenyi- Kagera.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha mkolaji... naonea dagaa kuja kwa ile baba yao, kuba yao simba. apo apana simama kabisa veve.... naonea dagaa(dogo dogo) kambale aiwezi. leo napata tena toto dogo toka kagera. najua veve leo napiga bao mingi tu hiyo toto sababu apana pumzi kuba kama veve.
 
Last edited by a moderator:
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Kagera suger;
1.Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Rajabu Zahir
5.Mbuyu Twite
6.Hassan saleh Dilunga
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo master"
9.Kpah Sherman
10.Amiss Tambwe
11.Mrisho Ngassa.
SUB-
Deogratius Munishi Dida
Hussein Javu
Pato Ngonyani
Edward Charles
Jerryson Tegete
Nizar Halfan
Nadir Haroub

Kocha mkuu-Hans van Pluijm.
Kocha msaidizi-Charles Boniface Mkwasa.

Kila la kheir Yanga Afrika.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Leo taka piga tatu sa nguvu ili nisichoshe sana hii mutoto ya form two, sitaki piga nyingi isije nikimbia mwaka ingine.
 
Last edited by a moderator:

Naona leo kiungo matata "makapu" hayupo hata benchi.. poleni sana.. maana kuna gharika naona linakuja.
 
Piga ...pigaaa...pigaaaaa..pigaaaa...mwizi huyo huyooooo...kamata mwizi huyooo...pigaaaaa piaga yanga haoooooooooo
 
Ukome we mtu!
yanga ushindi ulazima.

Mkuu leo raha sana...kama ndio tuko kwenye majengo ya kuangalia mpira...screen moja yanga screen nyingine simba...raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…