Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Kagera Sugar wame-pweletwa! Yanga_Kgr.JPG
 
msaidiz wa upande wa kulia atafia uwanjan Leo nimeona ana hema kama mbwa hii timu atar,mikia vip mnaendeleaje huko
 
Bwana cc makoye matale,huko tanga kunaendeleaje,dar kimeeleweka
 
Hamkosi sababu nyie watu, haya huko kwenu hali ikoje?

Kwetu tuko vizuri, tunasubiri kipindi cha pili tuwapige, tushawashtukia siku hizi maana mwanzoni tulikuwa tukiwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili wanasawazisha, sahivi ni mwendo mdundo kipindi cha pili haina kusawazisha.
 
Hiki kipigo kama hiki alitakiwa akipate mnyama siku ile, bahati yake alibebwa na refa tena kwa mbeleko ya chuma!
 
Kwetu tuko vizuri, tunasubiri kipindi cha pili tuwapige, tushawashtukia siku hizi maana mwanzoni tulikuwa tukiwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili wanasawazisha, sahivi ni mwendo mdundo kipindi cha pili haina kusawazisha.

Ha ha haaa kujifariji si mbaya pia Masuke.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom