mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
La pili tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 19. Yanga 2, kagera 0
Ya kweli hayo! au unatania tu
Hawa Kagera Sugar hawana tofauti na Platinum.
Sawa kaka.Waiteni mtakavyotaka, sisi tuko after pointi 3. Hadi sasa Yanga 2-0 Kagera Sugar.
Bado matatu dozi ikamilike
Hawa Kagera Sugar hawana tofauti na Platinum.
Hamkosi sababu nyie watu, haya huko kwenu hali ikoje?
Subiri dakika 90,Myama mla majani vp huko? Cc #masuke #
Kwetu tuko vizuri, tunasubiri kipindi cha pili tuwapige, tushawashtukia siku hizi maana mwanzoni tulikuwa tukiwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili wanasawazisha, sahivi ni mwendo mdundo kipindi cha pili haina kusawazisha.