Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Baada ya kuwapa kipigo kikubwa sana wazimbabwe Yanga leo inarudi nyumban kupambana na hawa wana kamua miwa wa kutoka huko Kagera.
Yanga ambayo inaingia uwanjani ikiwa na Morali kubwa baada ya kuwa piga kiganja Platinum toka zimbabwe itakuwa nyumban leo ikishindana na Wana Sukari toka Kagera . Safu ya ushambuliaji ya Yanga inaonekana kupata makali wakati wa mechi dhidi ya Platinum .
Tujae kwa wingi kiwanjani kushuhudia Pambano hili la Kabumbu, Gozi, Soka au Mpira wa Miguu.
Matangazo haya yatawajia kwa Hisani ya Jamii forums.
Hiki ni kikosi ambacho nimepokea kutoka upande wa Yanga kitakochoanza pambano hili la leo.
Yanga:
Ally Mustapha,
Juma Abdul,
Oscar Joshua,
Mbuyu Twite,
Kelvin Yondani,
Said Juma,
Salum Telela,
Haruna Niyonzima,
Amissi Tambwe,
Mrisho Ngassa
Simon Msuva.
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.
Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.
Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.
Wadau wenye list Mbadala tunaomba mturushie hapa kulingana na habari tulizopata hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Yanga hapa JF ndugu mkolaji kuwa kuna wachezaji ambao hawatakuwepo . naye ameahidi pia kutujulisha hivi punde huku akiendelea kuwasiliana na Kocha wa Yanga ili ampatie Kikosi cha Leo.
===============
===============
Matokeo ya Mwisho: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar