Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Ha ha ha simba chaliiiii

Mkuu huyu mnyama mwache kama alivyo. Tusubiri dk 90 ziishe undo tupige vigeregere, si unakumbuka mechi ya Mtibwa? Dk za nyongeza mnyama akalamba zote 3! Ila akipigwa itakuwa nzuri!!
 
Baada ya kuwapa kipigo kikubwa sana wazimbabwe Yanga leo inarudi nyumban kupambana na hawa wana kamua miwa wa kutoka huko Kagera.

Yanga ambayo inaingia uwanjani ikiwa na Morali kubwa baada ya kuwa piga kiganja Platinum toka zimbabwe itakuwa nyumban leo ikishindana na Wana Sukari toka Kagera . Safu ya ushambuliaji ya Yanga inaonekana kupata makali wakati wa mechi dhidi ya Platinum .

Tujae kwa wingi kiwanjani kushuhudia Pambano hili la Kabumbu, Gozi, Soka au Mpira wa Miguu.

Matangazo haya yatawajia kwa Hisani ya Jamii forums.

Hiki ni kikosi ambacho nimepokea kutoka upande wa Yanga kitakochoanza pambano hili la leo.
Yanga:
Ally Mustapha,
Juma Abdul,
Oscar Joshua,
Mbuyu Twite,
Kelvin Yondani,
Said Juma,
Salum Telela,
Haruna Niyonzima,
Amissi Tambwe,
Mrisho Ngassa
Simon Msuva.

Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.

Wadau wenye list Mbadala tunaomba mturushie hapa kulingana na habari tulizopata hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Yanga hapa JF ndugu mkolaji kuwa kuna wachezaji ambao hawatakuwepo . naye ameahidi pia kutujulisha hivi punde huku akiendelea kuwasiliana na Kocha wa Yanga ili ampatie Kikosi cha Leo.[/QUOT.....hapo kwa makapu na yondani nadhani itatumika sheria iliyotumika kumchezesha ajibu was simbu...
 
huyu atakuwa mungu wa mzee wa upako ila mungu wa chamazi wote mpigwe tu..

huyu lambalamba tunampigia hesabu aondoke kwenye hiyo nafasi...na ataondoka tu maana hakuna namna nyingine!
 
Back
Top Bottom