Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
DAIMA MBELE NYUMA mkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chenksi my ndugu.,Tulikumiss bora umerudi... Karibu tena.
jiran kuna mtu hua analala amesimama,tuwaombee mikia wapate hata droo
Ha ha ha simba chaliiiii
mmmhhhhh shigidi shida..Kagera hawawahi kuniangusha
Baada ya kuwapa kipigo kikubwa sana wazimbabwe Yanga leo inarudi nyumban kupambana na hawa wana kamua miwa wa kutoka huko Kagera.
Yanga ambayo inaingia uwanjani ikiwa na Morali kubwa baada ya kuwa piga kiganja Platinum toka zimbabwe itakuwa nyumban leo ikishindana na Wana Sukari toka Kagera . Safu ya ushambuliaji ya Yanga inaonekana kupata makali wakati wa mechi dhidi ya Platinum .
Tujae kwa wingi kiwanjani kushuhudia Pambano hili la Kabumbu, Gozi, Soka au Mpira wa Miguu.
Matangazo haya yatawajia kwa Hisani ya Jamii forums.
Hiki ni kikosi ambacho nimepokea kutoka upande wa Yanga kitakochoanza pambano hili la leo.
Yanga:
Ally Mustapha,
Juma Abdul,
Oscar Joshua,
Mbuyu Twite,
Kelvin Yondani,
Said Juma,
Salum Telela,
Haruna Niyonzima,
Amissi Tambwe,
Mrisho Ngassa
Simon Msuva.
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.
Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.
Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.
Wadau wenye list Mbadala tunaomba mturushie hapa kulingana na habari tulizopata hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Yanga hapa JF ndugu mkolaji kuwa kuna wachezaji ambao hawatakuwepo . naye ameahidi pia kutujulisha hivi punde huku akiendelea kuwasiliana na Kocha wa Yanga ili ampatie Kikosi cha Leo.[/QUOT.....hapo kwa makapu na yondani nadhani itatumika sheria iliyotumika kumchezesha ajibu was simbu...
huyu atakuwa mungu wa mzee wa upako ila mungu wa chamazi wote mpigwe tu..maombi ya hivi naomba yasipokelewe...mikia apigwe tu maana hakuna namna nyingine...
huyu atakuwa mungu wa mzee wa upako ila mungu wa chamazi wote mpigwe tu..
leo zamu yake kufunga ubuyu wa vimto..
Ha ha hahaaa usinivunje mbavu miye, huwa mnapeana zamu nini my ndugu hahahaaa...
Azam ngapingapi