Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa nini washabiki na wachezaji wa Yanga huwa wanakosa raha wakisikia pembeni kuna mnyama?mikia hebu poteen hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini washabiki na wachezaji wa Yanga huwa wanakosa raha wakisikia pembeni kuna mnyama?mikia hebu poteen hapa
Kagera sugar hamtatuangusha leo, fanyeni kweli.
Yanga 1-0 Kagera Dak. 8 Msuva, penati.
Kwa mwendo naona kweli wataniangusha, ngoja tusubiri dakika 90.washakuangusha mkuu, subiri na tanga uangushwe!
Mmmmh naona kandambili mmefufuka sasa, Yanga 1 Kagera 0
Mkuu endelea kutupa updates.Yanga 1-0 Kagera Dak. 8 Msuva, penati.
La pili! YANGA 2
Duuuuu,nani kapiga
Ya kweli hayo! au unatania tu
Hawa Kagera Sugar hawana tofauti na Platinum.Dk 19. Yanga 2, kagera 0