ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
huyu lambalamba tunampigia hesabu aondoke kwenye hiyo nafasi...na ataondoka tu maana hakuna namna nyingine!
hapo unajipa moyo kwenye hamna..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu lambalamba tunampigia hesabu aondoke kwenye hiyo nafasi...na ataondoka tu maana hakuna namna nyingine!
hizi dua zengine hizi ni lawama tu..
Mgambo JKT 2 - Simba SC 0.
Said Ndemla out ili kipa Peter Manyika aingie golini.
Ha ha utabiri wangu umelamilika..nitafurahi kama nitavuka rengo walau goli moja zaidi...iwe 3 _0
Mgambo JKT 2 - Simba SC 0.
Masuke upooooo???!!!
Matokeo yakojeee
Mbeya City 1-0 Stand United, kutioka Mbeya.