OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Kumkojolesha Yanga sio kazi tena.rejea mechi za juzi juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo nchi gani? bongo siku zote mpira ni sa 10 +/-15minhii mechi inachezwa saa ngapi?
Kikosi cha Simba kitakachoanza na akiba dhidi ya Yanga SCView attachment 324355
Wakuu yamebaki masaa kadhaa tu wakali wa Dar na Afrika Mashariki waingie katika mtanange wa kukata na shoka mishale ya saa kumi jioni. Kimuhemuhe cha kufa mtu mitaa ya Msimbazi na Jangwani huku tiketi zikigombewa kama pipi za bure.
Mkuu wenu nitawaletea moja kwa moja mtanange huu kutoka uwanja wa Taifa na baadae nitawatupia video ya matukio yote muhimu ya mechi ya leo ikiwemo magoli na kadi kama vitakuwepo. Kwa uchambuzi kabla ya mechi gonga HAPA
Usicheze Mbali na JF
============
#TeamYanga
Kila la kheri Yanga, Mungu yu nasi daima. Yanga daima mbele, nyuma mwiko...
Paka atachezea vitatu vya mapemaaa, panic at your own risk...
#teamyangaforever#
YangaForever
Yanga moko
Yanga noma
Wazee wa international routes
Ushindi utapatikana tuu...... Na kama kawaida ukiona manyoya......God bless yanga
Kikosi cha Simba kitakachoanza na akiba dhidi ya Yanga SC
1. Vicent Angban
2. Abdi Banda
3. Juuko Murshid
4. Mohamed Tshabalala
5. Hassan Kessy
6. Justice Majabvi
7.Jonas Mkude
8. Mwinyi Kazimoto
9. Said Ndemla
10. Ibrahim Ajibu
11. Hamis Kizza
Akiba ni
1. Peter Manyika
2. Novalty Lufunga
3. Brian Majwega
4. Awadh Juma
5. Danny Lyanga
6. Mussa Mgosi
7. Emery Nimubona
Boy unachekesha ujueHivi kuna watu seiously wanakuwa na imani kati ya timu hizi mbili zikikutana kuwa utachezwa mpira wa maana. Mara nyingi matokeo huwa wanapanga.
Toa mfano...Game wanazopanga matokeo kama hizi mimi huwa sinaga mzuka nazo sana.
Sawa kabisa maneno yako!!Kuishabikia Yanga ni sawa na kuishabikia ccm