Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Tafadhali tupatie link ili tuweze kufuatilia huu mtanange kwa mbali
 
Simba taifa kubwa kama kawaida yetu tunapiga 6 leo na siyo 5.
 
Yanga wanchezewa nusu uwanja......Kiiza dah offside
 
Daaah kuna manyunyu yamenyesha hapa dar sasa hii hua si dalili nzuri kwa yanga yangu
 
Mbona jina lake linajieleza! ni la mastaa watatu wakali waliowahi kuitumikia hiyo timu. Ishu itokee bahati mbaya wakafungwa, jamaa anaweza akageuka Enock Bwigane yule wa tbc! atashikwa na kigugumizi ajabu.
Ikitokea wameshindwa mchezo mwandishi wetu wa jf kwa siku ya leo hatoripoti habari na badala yake atatokomea kusikojulikana.
 
Back
Top Bottom