hiyo ni lazma haina ubishi yani leo yanga lazma wakae tuDaaaa yanga lazma wapakatwe kwahar hiiiiiiii mmm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni lazma haina ubishi yani leo yanga lazma wakae tuDaaaa yanga lazma wapakatwe kwahar hiiiiiiii mmm
wa wapi huyu mama?limeniudhiHivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
yanga wako 12 halafu simba tuko 10 lakin lazma yebo tuwakalishe pa1 na hujuma za haka karefaYanga wako 12 na refa
Weweeee tulia,bado sana.hiyo ni lazma haina ubishi yani leo yanga lazma wakae tu
wa wapi huyu mama?limeniudhi
Umeona eeh?simba wananyooshwa....leo
Mnaita aki sawa jamaniHivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
Linarudi