Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Kessy atapata taabu sana pale msimbazi matokeo yakiwa hivi hadi mwisho
 
Walioko uwanjani vp ni mpira wa maana vijana wanarukaruka tu???
 
nasikiasikia sauti za ngoma kwa mbali, alishatoa mimba nyingi ila leo tunamwita mwali
 
Ngoja tuone kipindi cha pili kama Simba watarudisha au Yanga ataongeza magoli zaidi au matokeo yatabaki hivi hivi kama yalivyo kipindi cha kwanza.
 
Ngoja tuone kipindi cha pili kama Simba watarudisha au Yanga ataongeza magoli zaidi au matokeo yatabaki hivi hivi kama yalivyo kipindi cha kwanza.
Tunasawzisha Na kuongeza. Mwisho 2 - 1
 
Back
Top Bottom