Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Linarudi mtani...!!!Umeona eeh?
Tayari tumeshaanza kuunyoosha mkia,bado kuwagaragaza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linarudi mtani...!!!Umeona eeh?
Tayari tumeshaanza kuunyoosha mkia,bado kuwagaragaza tu.
Linarudi
Ile kadi nyekundu sio kabisaHuyu refa leo hatoki hapo uwanjani, ile kadi nyekundu sio
Last time alivyochezesha mkafunga yanga mbona hukuyasema unayoyasema?Hivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
Njano ya pili alipataRed card kapewa mtu sababu ya nini?
Yanga wako 12 na refa
Hivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
hiyo ni lazma haina ubishi yani leo yanga lazma wakae tu
wa wapi huyu mama?limeniudhi
Last time alivyochezesha mkafunga yanga mbona hukuyasema unayoyasema?
Hiyo hiyoSimba ipi ya kurudisha gori hii inayoparamia wachezaji wa yanga au?
Ngoma alimzidi ujanjaVery sad kwa Simba...wasinge mchezesha bhana
duu yamekua hayo tena? Kwel yebo nyumba ya maneno yan mmesaidiwa na refa bado mnaongea?Muwe tu wavumilivu wakati hizi sindano za masaa zinawaingia. Hamtoki watani wetu wa jadi. Si yule Jerry Muro anawaitaga eti nyinyi ni wa mchangani? sasa mtashindana vipi na wakimataifa. Tuwe tu wapole.
Pima kauli zako mrembo,wewe si mungu
vyote viwili alivyosema mbona vinawezekana aiseeYanga kushinda game ya Leo ni sawa na wema sepetu kupanga foleni kwenda krinik ya uzazi..team mnyama baby!!
Zitoke wapi??Bado 2
maagizo toka ngazi za juuRed card kapewa mtu sababu ya nini?