Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

kwetu simba analiwa tuu
5bb53aad21bd509d52fe6932dbf04dd1.jpg
 
Yanga wako 12 na refa
Hivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
hiyo ni lazma haina ubishi yani leo yanga lazma wakae tu
wa wapi huyu mama?limeniudhi

Muwe tu wavumilivu wakati hizi sindano za masaa zinawaingia. Hamtoki watani wetu wa jadi. Si yule Jerry Muro anawaitaga eti nyinyi ni wa mchangani? sasa mtashindana vipi na wakimataifa. Tuwe tu wapole.
 
duu yamekua hayo tena? Kwel yebo nyumba ya maneno yan mmesaidiwa na refa bado mnaongea?
 
Back
Top Bottom