Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

naskia upande wa mikia fc mmeingia na panadol za kutosha
 
Tz bana,bonge la promo,mpira sasa ni bora hata ligi yetu ya kuwania mbuzi mtaani kwetu!!!!
 
Kikosi cha Simba kitakachoanza na akiba dhidi ya Yanga SC

1. Vicent Angban
2. Abdi Banda
3. Juuko Murshid
4. Mohamed Tshabalala
5. Hassan Kessy
6. Justice Majabvi
7.Jonas Mkude
8. Mwinyi Kazimoto
9. Said Ndemla
10. Ibrahim Ajibu
11. Hamis Kizza

Akiba ni
1. Peter Manyika
2. Novalty Lufunga
3. Brian Majwega
4. Awadh Juma
5. Danny Lyanga
6. Mussa Mgosi
7. Emery Nimubona
 
Hakuna TV itaonyesha cose hiyo ni biashara washinde hawa au wale aijalishi,kinachomata ni makusanyo
 
 
Hivi kuna watu seiously wanakuwa na imani kati ya timu hizi mbili zikikutana kuwa utachezwa mpira wa maana. Mara nyingi matokeo huwa wanapanga.
 
Game wanazopanga matokeo kama hizi mimi huwa sinaga mzuka nazo sana.
 
Vp rais wa TFA (according to nep) hajatuma msg timu gani ishinde kama alivyofanya kule Kigoma kwa Geita FC?

Je mwamuzi wa leo alipanda basi la timu gani kufika dar? Au tiketi ya ndege kalipiwa na timu ipi kati ya hizo mbili?

Bongo soka mtasubiri sana labda magu aje atumbue majipu na huko
 
Yanga kushinda game ya Leo ni sawa na wema sepetu kupanga foleni kwenda krinik ya uzazi..team mnyama baby!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…