Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wamaume wa Jangwani 2-0 Simba jike.Updates plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamaume wa Jangwani 2-0 Simba jike.Updates plz
Hahahaah akipita pale sugar ray atapata tu mchepukoHahahahaaaa na unyimwe tu maana hakuna namna.
Na kama umevaa minguo yako mekundu hata mchepuko hupati,wadada tunapenda wanaume wanaoishabikia Yanga.
kwan upo nchi ganNikweli bao la pili au
Ndio......Nikweli bao la pili au
Hahahahahaaaaa kwetu raha tu, sijui kwa nyau wao vepeeeee. Miss you NifahWamaume wa Jangwani 2-0 Simba jike.
Kumbuka ni refa huyu pia alimpa red card Kelvin Yondan siku ya mechi ya Mtani Jembe....Mkashinda..Refa wa yanga si alikuwa ndani ya uwanja, au na yeye alitoka ?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Simba hawawez kurudisha bao hzo wmezidiwa
Mleta uzi kutumbuliwa. .!Muanzisha Uzi amegoma kutupa updates. Kumbe Na yeye ni mikia!!!!
Dakika 3 za nyongezaHuu mpira haushi? Au?
Tiba
Ok, ndiyo mpira. Hongereni, lakini ubingwa bado ...Kumbuka ni refa huyu pia alimpa red card Kelvin Yondan siku ya mechi ya Mtani Jembe....Mkashinda..
Sasa sijui alikuwa wa Simba siku hiyo..
Kubalini kushindwa tu mtani
Muanzisha Uzi amegoma kutupa updates. Kumbe Na yeye ni mikia!!!!
silipwi na mtu
Nitembee uchi???Vua nguo........teh teh teh