Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni kweli itatawala sana ilo halina ubishi haitoki leo wala kesho.
Upinzani wenyewe ni mashabiki wa mambo ya CCM unategemea nini?
Chadema kumejaa uchaga walimchukia sana Magufuli mpaka wamekuwa kama wehu wamekosa direction na sasa hivi wameanzisha mashambulizi kwa wasukuma kila siku wasukuma hivi wasukuma wananyooshwa ila navyowajua wasukuma na ule wingi wao watawafurahisha. Chadema pia imejaa ulutheri maaskofu wa Lutheran ndio wnaharakati wao siku hizi.
ACT ndio sijui hata wanasimamia nini kwa sasa ni kama viongozi wao kina Zitto wamekuwa machawa wa Samia wanamlinda kwa nguvu zote asipate mashambulizi.
Pamoja na mapungufu yote kiukweli CCM bado ni chama imara na afadhali mara 1000000000 kuliko awa wanuka kwapa wa uko upinzani.
Wazee wanafurahia utam wa asali,hawana vision ya kuwakomboa wananchi,wao ni kulamba aali tu,CCM ni wafu wanaozikana, kisha wanafukua makaburi kufufuana tena.
Ni taasisi fulani ya wafu (kifikra). Hakuna kipya wala cha maana.
Hio elim yake ya Havard kaipata juzi?anayo miaka kibao,haiwasidiii wananchi kwani umaskin unazidi kuongezeka,leo Indonesia waliochukua michikichi Kigoma ndio wasambazaji wakubwa wa mafuta duniani,Alizeti inalimwa sehemu kubwa hapa nchini,ila ndo hivyo tena,wasomi wa Havard wako bize kuramba asaliMaana yake CCM wanafuta vumbi silaha zao wakijiandaa kwa mpambano wa 2025, Majenerali wa Siasa wanarudi makambini kupanga strategy za vita tayari kumtwanga adui vilivyo.
Kinana ni msomi wa Harvard, moja ya vyuo Bora kabisa duniani, anakwenda kukipika chama hiki na kukisuka tayari kwa kuzikamata Siasa za nchi hii kwa miaka kumi ijayo. Stratejia za msomi wa havard haziwezi lingana na Mnyika au Mbowe ambao wamesoma open university tena huku wakifeli masomo na kurudia mara kwa mara
Ni tahadhali kwa wanaoimba katiba mpya wanasahau kujipanga kwa uchaguzi.
Hata Mao alistaafu alarejea, Mangula näe alirejeshwa båada ya kulima ViaziNajiuliza ale mtu anapostaafu kwenye taasisi na kuagwa na Kisha kurejeshwa yuleyule mstaafu kwenye taasisi Ile tena kwenye nafasi ya juu Ina maana gani kwa taasisi na wafanyakazi wa taasisi Ile?
Tz ni nchi ambayo wananch wake unaweza wafanya chochote na wakakuvumilia.. hata la katiNajiuliza ale mtu anapostaafu kwenye taasisi na kuagwa na Kisha kurejeshwa yuleyule mstaafu kwenye taasisi Ile tena kwenye nafasi ya juu Ina maana gani kwa taasisi na wafanyakazi wa taasisi Ile?
Huko mitaani kuna
1.CCM A.ya kabla ya 2015.wacheza dili,wenye nacho,hawa sio wengi.
2.CCM B. Watu wa hali ya chini ni wengi walioguswa sana kuonjeshwa na awamu ya 5.Na wapo nje ya miji
Ipo kazi kubalance 2025 katika makundi haya mawili
Ujinga mtupu! Mbona mwaka 2015 akiwa Katibu Mkuu bali ndani ya CCM ilikuwa mbaya kiasi cha kumbeleleza Jembe JPM aubebe msalaba ili awavushe? Tusidanganyane maana tunajua mengi.Maana yake CCM wanafuta vumbi silaha zao wakijiandaa kwa mpambano wa 2025, Majenerali wa Siasa wanarudi makambini kupanga strategy za vita tayari kumtwanga adui vilivyo.
Kinana ni msomi wa Harvard, moja ya vyuo Bora kabisa duniani, anakwenda kukipika chama hiki na kukisuka tayari kwa kuzikamata Siasa za nchi hii kwa miaka kumi ijayo. Stratejia za msomi wa havard haziwezi lingana na Mnyika au Mbowe ambao wamesoma open university tena huku wakifeli masomo na kurudia mara kwa mara
Ni tahadhali kwa wanaoimba katiba mpya wanasahau kujipanga kwa uchaguzi.
Maana yake CCM wanafuta vumbi silaha zao wakijiandaa kwa mpambano wa 2025, Majenerali wa Siasa wanarudi makambini kupanga strategy za vita tayari kumtwanga adui vilivyo.