CCM wameishiwa watu wenye sifa kujaza nafasi hiyo! Angekuwepo Magufuli angeteua mtu kutoka Chadema kuwa Makamu Mwenyekiti!Najiuliza ale mtu anapostaafu kwenye taasisi na kuagwa na Kisha kurejeshwa yuleyule mstaafu kwenye taasisi Ile tena kwenye nafasi ya juu Ina maana gani kwa taasisi na wafanyakazi wa taasisi Ile?