Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Mawio katika toleo lake namba 166 la tarehe 24-29 ukurasa wa 4 limeandika kuwa Magufuri alishindwa kufanya mkutano KARAGWE mkoa wa KAGERA kwa kukosa watu kabisa.
picha ya kipande hicho ninayo ila nimeshindwa kuiweka,mod naomba namba yenu ya whastupp niwatumie muweke
 
ukiona hivyo ujue wakina diamond na aunt ezekiel hawajalipwa na wamegoma kwenda karagwe...
 
Kuweni Makini.
Jana Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa
mlongo aliitisha kikao na waendesha boda boda
wa MWANZA hotel ya GOLD CREST, Boda boda
hawakujua lengo la kikao hicho ingawa baadhi ni
dhahiri walijua, kikao kilifunguliwa na mkuu wa
wilaya nyamagana na mazungumzo yalianza...
Boda boda waliahidiwa kupewa BIMA ya AFYA,
Na kusaidiwa kujiunga na mifuko ya jamii, pia
walipewa elfu 5000 kwa kila boda boda na ahadi
ya chakula kwa siku hiyo ilitolewa, jumla ya boda
boda waliohudhulia ni zaidi ya 500, Baadae
wakaambiwa wakabidhi vitambulisho vyao vya
kupigia kura, hapo ndipo mzozo ulipoanza, boda
boda baadhi wakahoji nia ya wao kukabidhi
vitambulisho hivyo lkn mkuu wa mkoa akaanza
kuwafokea na kuwatisha ndipo mlango
ulipofungwa, boda boda wakatishia kujisaidia
ndani ya hotel hiyo ndipo mlango ulipofunguliwa
na wengine wakatoka bila kukabidhi vitambulisho
vyao lakini wengine walikabidhi kwa ahadi kuwa
ijumaa hii wataenda kukabidhiwa BIMA ZA AFYA
nk.
Mpango huu ni wa Nchi nzima na ni maagizo kwa
WAKUU WOTE WA MIKOA Na WILAYA na
watendaji wa chini yao.
share ujumbe huu kwa haraka na kwa watu mbali
mbali na mpigie simu mwendesha boda boda
yyte unayemfahamu kumtahadhalisha juu ya
mpango huu haramu wa CCM na serikali yake.
 
Bila Bongo Muv na Wasanii wa muziki kamwe magufi hawezi jaza watu sehemu yoyote.



leo hii Tindu Lissu anauwezo mkubwa wa kujaza watu kuliko magufuli.
 
Nacheka sana kwa paragraph hii...
" ... boda boda wakatishia kujisaidia
ndani ya hotel hiyo ndipo mlango ulipofunguliwa..."
 
ukiona hivyo ujue wakina diamond na aunt ezekiel hawajalipwa na wamegoma kwenda karagwe...

karagwe ni jimbo langu ccm lazima iondoke kila siku wanatunyanyapaa mara watu wa karagwe ni wanyarwanda mara turudi rwanda yaani wakiona pua tu shida tumechoka
 
Back
Top Bottom