OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
wanapimana,wote wana kasiAnajua kuliko Konde boy?
Lini ?!Barca ashatoka
Mkuu, hivi wote wanacheza the same number? Haiwezekani kuwapanga wote first eleven?wanapimana,wote wana kasi
ndivyo nionavyo mimi piaMzamiru atoke
Dilunga atoke
hawa wote wanacheza winga yeyote. wanaingia wote mmoja kulia mwngine kushoto. hawa watu wataongeza sana kasi ya Simba na ile mipasi ya hewani ya BwalyaMkuu, hivi wote wanacheza the same number? Haiwezekani kuwapanga wote first eleven?
Mkude anacheza vizuri sana.ndivyo nionavyo mimi pia
Mmoja anacheza left mwingine anacheza right.Mkuu, hivi wote wanacheza the same number? Haiwezekani kuwapanga wote first eleven?
mpira ni mchezo wa hadharani kila mtu anaona,sijui mwenzetu kocha kama yupo uwanjaniMzamiru atoke
Dilunga atoke
Jinga sana, huyu kochaCoach ni mgumu sana kubadili.
Yaani coach akikiweka sub maana yake huchezi.Jinga sana, huyu kocha
Yaani hawa wawili...ndio wanaharibu kikosiMzamiru atoke
Dilunga atoke
Tayari, Ila Chama hachoshiKashawakeraaaaaaa tayari