Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #101
Mwaka wetu huuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha, karibu mkuuuAsante GSM kutuletea Morison
Next level, unahisi namungo atakula ngapi ?!
Mkuu usiwakere.Mtumwa huwa anabeba na Bwana anachukua. AHSANTE GSM.
kijana mbichi kabisa huyu miaka 27 tuUnyango anawafundisha mpira.
hii mimi imenishangaza sana. anaweza kuwa mzuri kuliko Ndemla?Anachokiona Kocha wa Simba ni tofauti na tunachokiona Mashabiki. Muzamiru labda ni mzuri kwa aina ya viwanja vibovu.
Kaamua kumtoa Morson ili watu wasiendelee kukereka.
Ha ha ha, mipira yote ya juu yake.kijana mbichi kabisa huyu miaka 27 tu
Mkuu kwa aina ya kiwanja Mzamiru anafaa kwani ni bulldozer asiyehitaji Uwanja mzuri.hii mimi imenishangaza sana. anaweza kuwa mzuri kuliko Ndemla?
Ha ha ha, we jamaaaHawa Simba balaa, chama ana uwezo wa kupiga chenga wachezaji watano, morison ana uwezo wa kukimbiza beki wanne, huku unyango ana uwezo wa kukaba wachezaji 8