Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Mtumwa huwa anabeba na Bwana anachukua. AHSANTE GSM.
 
Anachokiona Kocha wa Simba ni tofauti na tunachokiona Mashabiki. Muzamiru labda ni mzuri kwa aina ya viwanja vibovu.
Kaamua kumtoa Morson ili watu wasiendelee kukereka.
hii mimi imenishangaza sana. anaweza kuwa mzuri kuliko Ndemla?
 
Back
Top Bottom