Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Nakubaliana na wewe kbsa. Hawa wachezaji wanacheza ilimradi, uwezo wao ukiulinganisha na wachezaji km bwalya, mikisoni n.k. bado mdogo sn.
Hata ndemla gemu na vital,o sehemu ya kutoa pasi ya mwisho yeye anapiga shuti mkaa. Mzamiru, dilunga na ndemla bado wanahitaji jitihada za ziada sana.
Halafu hawa walikuwa wakipewa nafasi kuliko kina Deo Kanda na Shibob ila Fraga ashukuru kuumia kwa mkude vinginevyo na yeye angeachwa kwa ujinga wa kutopangwa ukweli pale simba kuna tatizo waliomfanyia figisu uchebe bado wana nguvu pale Simba
 
Klila mtu ana ubora wake. Wawa hana mbio ni mbovu kwa mipira ya juu, ni mzuri kwa pasi fupi na ndefu zinazomfikia mlengwa pia anakaba kwa kutumia akili.

Onyango ni bulldoza anatumia nguvu na akili, anacheza mipira ya juu, pasi za uhakika na ni mwepesi kuondoa mipira eneo la hatari wala hana mambo mengi, anatabia ya kuondoa haraka mipira eneo la golini.
Kwa maelezo uliyotoa Onyango ni mzuri kuliko Wawa
 
Hii Simba Sasa Ndo Timu Ya Taifa Ya Tanzania!
Inawezekanaje Mkuu Wa Nchi Na Makamo Wake Wote Mashabiki Kindakindaki Wamnyama?
Waziri Mkuu Mnyama

Spika Wa Bunge Mnyama.

Wazari Wa Habar/utamadun&michezo Ni Mnyama! Tff Wote Wanamsimbazi! Watanzania Wote Wenye Akili Timamu Ambao Cyo Mambwambwa Na Manyani Fc Ni Zemba! Hata Kocha Wa Timu Ya Taifa Stars Na Makocha Wengine East Africa Ni Simba Na Ndomaana Ndairagije Akagoma Kwenda Utopolofour!

Hata Kocha Waliotuambia Anatoka Barcelona Kaze Cedrick Ameingia Mitini Baada Yakuambiwa Asithubutu Kujipeleka Utopolofour Maana Ni Baridi Sana As Kikwete Voice, Jamaa Amekula Zote, Sasa Huyu Kocha Wameleta Anaonekana Anamsongo Wa Mawazo Cjui Itakuaje Masikini.

Ila Sisi Simba Burudaaan

Na Raha Inatunyemelea Na Mwisho

Ipo Siku Kila Mtu Ataishabikiat

Timu Ya Taifa Simba Sports Club.

Wanalunyas, Taifa Kubwa, Mwana Kulitaka Mwana Kulipita Kama Morison Na Bwalya.

Hamia Simba Timu Inayosakata Kabunbu La Viwango Vilivyothibitisa Na Shirikisho La Kabumbu Africa Caf,,,,,.
 
Back
Top Bottom