Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #141
Punguza hasira, Yanga wameshinda ngapi ?!mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni

Halafu hawa walikuwa wakipewa nafasi kuliko kina Deo Kanda na Shibob ila Fraga ashukuru kuumia kwa mkude vinginevyo na yeye angeachwa kwa ujinga wa kutopangwa ukweli pale simba kuna tatizo waliomfanyia figisu uchebe bado wana nguvu pale SimbaNakubaliana na wewe kbsa. Hawa wachezaji wanacheza ilimradi, uwezo wao ukiulinganisha na wachezaji km bwalya, mikisoni n.k. bado mdogo sn.
Hata ndemla gemu na vital,o sehemu ya kutoa pasi ya mwisho yeye anapiga shuti mkaa. Mzamiru, dilunga na ndemla bado wanahitaji jitihada za ziada sana.
Haiwezekani wote tunaona makosa halafu benchi la ufundi linajifanya kama halioni hayo makosaDilunga ananyang'wanya mpira anasimama badala a fight
Kwa maelezo uliyotoa Onyango ni mzuri kuliko WawaKlila mtu ana ubora wake. Wawa hana mbio ni mbovu kwa mipira ya juu, ni mzuri kwa pasi fupi na ndefu zinazomfikia mlengwa pia anakaba kwa kutumia akili.
Onyango ni bulldoza anatumia nguvu na akili, anacheza mipira ya juu, pasi za uhakika na ni mwepesi kuondoa mipira eneo la hatari wala hana mambo mengi, anatabia ya kuondoa haraka mipira eneo la golini.
mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni
Tukutane oktoba 18 2020Relax nyingi utakula wewe oktoba 18
Na badoIla simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
ulitaka tuwapige nyingi kama zile tulizompiga yanga???mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni
Si ndo mlikuwa mkijitapa...kikosi kipana huyu namungo leo anaoga nyingiulitaka tuwapige nyingi kama zile tulizompiga yanga???
Wingi unaanzia ngapi?Si ndo mlikuwa mkijitapa...kikosi kipana huyu namungo leo anaoga nyingi
Hongera Mkuu kwa kuongea ukweli! Huo ndio uanamichezo.Ila simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
Ila Mzee Baba huwa mnamkera mnavyotobolewa tundu mbele yake.Hii Simba Sasa Ndo Timu Ya Taifa Ya Tanzania!
Inawezekanaje Mkuu Wa Nchi Na Makamo Wake Wote Mashabiki Kindakindaki Wamnyama?
Waziri Mkuu Mnyama...
namungo timu nzuri ndo mana tumeshindwa kuwafunga nyingi....ila lingekuwa ni lile timu tulilolipiga nne leo tungelipiga kumiSi ndo mlikuwa mkijitapa...kikosi kipana huyu namungo leo anaoga nyingi
Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.Wingi unaanzia ngapi?
Mbili bila kumbe goli chache, oooh nimekumbuka kumbe ulishazoea kupigwa NNE ka za trh 12/7mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni